Ukipewa milioni 1, utaiwekeza kwenye biashara gani?

Nenda mahenge kachukue mchele kg1000 kwa laki nane tafuta genge sehemu yenye mzunguko wa biashara lipa kodi 50 nauli yako na mzigo ni 100 utauza kwa bei ya 1300=1300000
 
mkuu mahenge iko mkoa gn?
 
Mm nina kipaji cha kuimba sana mkuu, mimi nikipata hiyo naingia studio thenly after that ntaingiza faida mara 1000,
 
faida mara elfu?.....
Kwa mziki wa bongo huu... au mziki wa sebule la gheton kwenu?
 
Mkuu nimetumia lugha ya picha tu lakin faida itakayoingia ni kubwa zaidi. Just imagine show 1 laki 8 hadi M1. , sasa piga picha kwa show 10 (minimum) kwa mwezi ntakuwa naingiza kama M10, sasa hapo bado sijapata michongo ya matangazo ya makampuni ya kibiashara kama Tigo vodacom hivyo ni rahis sana kuingiza faida hasa ukizingatia nina nidhamu ya kutosha na si mtu wa anasa.
 
Kwa ushindani huu wa soko?
 
Kwa ushindani huu wa soko?

hata mimi namshangaa sana..maana kuna wakongwe wanapiga mziki mzuri lakn hata shoo 1 ya lak 8 kwa mwezi ni ishu!
Inaonesha dogo Ramani yake imesimama
ila mh......ni ngumu kumesa!!
 
Mkuu nimetumia lugha ya picha tu lakin faida itakayoingia ni kubwa zaidi. Just imagine show 1 laki 8 hadi M1. , sasa piga picha kwa show 10 (minimum) kwa mwezi ntakuwa naingiza kama M10, sasa hapo bado sijapata michongo ya matangazo ya makampuni ya kibiashara kama Tigo vodacom hivyo ni rahis sana kuingiza faida hasa ukizingatia nina nidhamu ya kutosha na si mtu wa anasa.

we unafikiri kupata show suala ndogo.kuna watu wanaimba na wana album kabisa lakini wapo tu.
 
Kwa ushindani huu wa soko?

Mkuu mziki ni ubunifu, ushindani upo popote pale as long as kitu mnachokifanya ni commercial, Huwezi kukimbia ushindani popote pale(socially, economical & political aspect). Bali muhimu ni kuwa an extraordinary person in such particular field where you belongs.
 
anzisha car wash, tafuta bar yenye wateja wengi halafu hakuna car wash pande hizo
 
Back
Top Bottom