Ukipewa milioni 1, utaiwekeza kwenye biashara gani?

nipe kwanza ndo nikwambie, mambo ya kuassume bata=kitimoto siyataki.

usijali, weka mawazo yako kwanza nilinganishe na ya wadau watakaofuatia then ukinishawishi utakua ni mmoja kati ya watakaopata hiyo pesa.
 
usijali, weka mawazo yako kwanza nilinganishe na ya wadau watakaofuatia then ukinishawishi utakua ni mmoja kati ya watakaopata hiyo pesa.

wewe nirushie kwanza hiyo pesa. wazo langu likiwa baya ntakurudishia hela yako.
 
wewe nirushie kwanza hiyo pesa. wazo langu likiwa baya ntakurudishia hela yako.

Hahahahaha...sitaki nikupe nafasi ya kusema kwamba, nimeingia choo cha kike kwa kukupa zawadi kabla ya mtihani, mbaya zaidi kabla ya washiriki wenzio kuonesha uwezo wao. endelea kusubiri pembeni na wazo lako huku wenzio wakiyanena yao ya mioyoni hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ushindi.
 
habari wana jf? ukipatiwa milioni moja kwa ajili ya ujasiliamali, utaiweka kwenye biashara gani?

Na we unegeuka ndoto za kitaa??? Si useme tu uma m1 unataka mawazo ni biashara gani ufanye???
 
Kama uko Dar fungua kibanda cha kuuza maji ya kunywa na juice karibu na kituo cha Dala Dala au shule ya msingi.
 
1. Kijiwe cha chips, na Vinywaji baridi (4DSM) 2.Ndizi&Viazi Mviringo (from Mbeya 2Dar)
 
1. Kijiwe cha chips, na Vinywaji baridi (4DSM) 2.Ndizi&Viazi Mviringo (from Mbeya 2Dar)

mkuu hiyo namba mbili plz inakuwaje hiyo biashara na vipi upatikanaji wa masoko..maana nasikia mpaka uwapelekee madalali pale shimoni
 
kwambeya naingia polini kujumua maharage nayaleta mjini ndani ya mdamfupi nipo mbali
 
Mi nina milioni nyingine naomba tuunganishe na yako kuna watu wanazalisha hela tuwape izae...
 
nipo hapa naweza kukuzalishia hiyo pesa,mim ni mkulima, ukinipa laki 4 nakulimia ekari moja na nakukabidhi laki 5 baada ya kuvuna, kwa milion moja nalima ekari 2 na nusu, we nakupa chako 1,250,000,. ukinipa hiyo pesa basi we unakaa tu kusubiria chako. Karibuni wote
 
Back
Top Bottom