Biashara ndogo ndogo - DAR (umachinga)

Mzawa KG

New Member
Feb 9, 2024
3
3
Habari wana JF.

Naombeni ushauri juu ya maeneo yenye wingi mkubwa wa watu kwa hapa Dar ambapo ninaweza kuweka biashara ya umachinga (urembo) ya mtaji wa milioni 2 na ikaenda vizuri.

Nimeplan kuuzia kwenye meza na sio kibandani.

Asanteni
 
Mwenge mpakani na sokoni, ubungo stand
 
Back
Top Bottom