UKipendwa nami nipende

UKipendwa nami nipende

Kuna msichana ninampenda sana na nimemwambia na amekubali ila nashangaa nikipiga simu hapokei, akipokea nitafute badae na yupo nyumbani tu..

Yani napata hasira sana..

Nimeamua niwe natulia na msichana mmoja ila naona anataka niwe n makoloni mengi tu..

nipeni ushauri nimfanyaje huyo msichana ???
Uwenda kakukubalia kukuridhisha uache kumsumbua labda ulikuwa unasumbua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chukua simu yako futa no yake na messages zake zote na ktk upande wa call logs nako futa calls zake zote kisha, tafta dem mkali zaidi yake, hapo utakuwa umemkomesha, ukiendelea kumfuata utakoma asee, nawajua vzr hawa wadada hua wakimua kukunyea wanakunyea kweli kweli.. fanya hivyo tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom