UKipendwa nami nipende

UKipendwa nami nipende

Kuna msichana ninampenda sana na nimemwambia na amekubali ila nashangaa nikipiga simu hapokei, akipokea nitafute badae na yupo nyumbani tu..

Yani napata hasira sana..

Nimeamua niwe natulia na msichana mmoja ila naona anataka niwe n makoloni mengi tu..

nipeni ushauri nimfanyaje huyo msichana ???


brother jifunze kupotezea mambo aisee...don't be so weak to love kiasi hicho.
 
Ukimtongoza mwanamke kwa kumuogopa au kumuweka juu sana, unakuwa umeshafeli kabla ya kuanza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Subira ya vuta kheri... haraka haraka haina baraka... tulia kwanza kuna bwege anaachwa mahali...


Cc: mahondaw
 
Hakupendi huyo mkuu tafuta mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom