UKipendwa nami nipende

UKipendwa nami nipende

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
633
Reaction score
417
Kuna msichana ninampenda sana na nimemwambia na amekubali ila nashangaa nikipiga simu hapokei, akipokea nitafute badae na yupo nyumbani tu..

Yani napata hasira sana..

Nimeamua niwe natulia na msichana mmoja ila naona anataka niwe n makoloni mengi tu..

nipeni ushauri nimfanyaje huyo msichana ???
 
Hilo ndio kosa unalolifanya just know your value then the rest will follow Mkuu.


Mzee sikatai ila bado ajakaa kwenye mpaka yangu,, Akikaa kwenye himaya yangu thamani yangu itajionesha tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamchape fimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom