Ukipendwa kweli thamini muda na upendo wa mwenzio

ohooww polee mi nilimpata wangu 2013 tukaja break mwaka huu kwa kosa la kugundua cheating yangu ya mwaka 2014 kosa nilimficha ila nilimuomba msamaha kwa miezi mi tatu mfululizo wala sikuchoka nilifanya kama habit inshort alikua mgumu haelewi but mwisho wa siku nakaribia kupoa ndo ananisamehe tumerudiana ila nilimsihi kwa miezi mitatu mesej,call, kumtafuta live, nilishaweka na uzi kuomba ushauri
kwa wewe bru ulifanya mistake kwelikweli na ubaya wa hawa viumbe ubongo wao unakariri mnoo wakichukia huchukia haswa we chakufanya
1, usionyeshe kuchoka kumtafuta
2, usimuite jina la kimapenzi we muombe msamaha tu kawaida wala usimsingizie shetani kwamba alikupitia
3,taratibu jitahidi kuelewa 90zimeisha na ushapoteza labda ukipewa za nyoongeza kama zitakuwapo
4, kuwa mtu wa saprizes zawadi za hapa na pale onyesha kumjali ila si utegemee atakusamehe fanya kwa mapenzi yako
5, Alijaribu kujiua!??? ana upendo na upendo unaishi so usiache kumsihi na ujakikishe umejirekebisha utalipuka tu siku
6, Daahh pole narudia pole
 
Pole mkuu, wanasema wahenga "ukiumwa na nyoka ukiona jani unashtuka" kosa si kosa Bali kurudia kosa ndiyo kosa na wala usiichukie kazi ile wala waliokupa , sijui umri wako na ushapitia mangapi ktk maisha, ila Nina imani umri wako si mkubwa sana japo ushamaliza chuo , kitendo cha kupata hela ghafla kikafanya uvamie starehe maana ni hela nyingi kwa wingi kama ulivyosema. Nikufariji tu kuwa shukuru sana mkuu maana kuna wengine wanapatwa na magonjwa kama HIV sababu ya starehe, kwa chini jipange wadada wa aina ya huyo wapo wengi polepole utapata kama yule, ila jifunze mkuu huyo utakayempata usimtenxe tena na huyo wa zamani sasa ana mwenzake usimwaribie mwache afanye maisha yake. Usijione shetani, ni hali ya kutoijua dunia tu, na mtu aliyefanikiwa kuna mahala aliteleza akajifunza ndo akawa na nidhamu ya maisha. Sasa utakuwa na nidhamu ya maisha, rudisha thamani yako ktk moyo wako songs mbele utapata kama yule au hats zaidi ya yule.
 
Usihukumu haraka hivyo mkuu. Sio kwamba nilimziria bali ukweli nikuwa kazi iliniweka busy sana hivyo nikawa nakunywa ili nilale nisiweze kwenda kuhangaika na wanawake wengine kwakuwa ninampenda na ndio maana sikukaa bar nikawa nakunywa zangu ghetto.
Hukumthamini BADALA YAKE UKATHAMINI POMBE ACHA KUJITETEA KIJINGA, MUDA WA VIROBA UNGETUMIA HATA DK 2 TU KUWASILIANA NAE UNGEPUNGUKIWA NA NINI?
 
Najua mkuu na ndio maana naomba mnisaidie niweze kuurudisha moyo wa huyu binti. Sio kwamba sikuwa nampenda bali nilikuwa busy sana na niliporudi ghetto nimechoka nikawa kimbilio langu ni pombe ili nisipate vishawishi.

Upendo wake kwangu pia ndio ulinipumbaza nikajisemea "hana ujanja huyu''
Wewe UTAMTESA TU HUTAWEZA MPA FARAJA TENA UKWELI NDO HUO! Uliza nikwambie sababu
 
Mkuu mbona umejibu kwa ukali hivyo kama vile wewe hukoseagi?

Sikumzira, distance na nature ya kazi yangu ndio tatizo.
Kama ni hivyo ulikuwa na sababu gani kumwambia maraa 2 zote Tena kwa NYAKATI tofauti kuwa MUACHANE AU AKUACHE AKATAFUTE MWINGINE? HUNA LA KUJITETEA MKUU KAFIE MBELE!!
 
Tuliza mpira tu Fanya yako saka pesa na nunua hata kipasso ,kwa vile alikupenda kwa dhati atarudi tu ila usiwe na mchepuko
 
Ulikosea sana kuwa busy na kazi na pombe vikufanye ushindwe kuwasiliana na mtu uliyempenda kutoka moyoni? Wanaume wenzako wangekuwa kama wewe mbona ingekuwa shida sana, jaribu kumbembeleza huenda akakuelewa.
 
ohooww polee mi nilimpata wangu 2013 tukaja break mwaka huu kwa kosa la kugundua cheating yangu ya mwaka 2014 kosa nilimficha ila nilimuomba msamaha kwa miezi mi tatu mfululizo wala sikuchoka nilifanya kama habit inshort alikua mgumu haelewi but mwisho wa siku nakaribia kupoa ndo ananisamehe tumerudiana ila nilimsihi kwa miezi mitatu mesej,call, kumtafuta live, nilishaweka na uzi kuomba ushauri
kwa wewe bru ulifanya mistake kwelikweli na ubaya wa hawa viumbe ubongo wao unakariri mnoo wakichukia huchukia haswa we chakufanya
1, usionyeshe kuchoka kumtafuta
2, usimuite jina la kimapenzi we muombe msamaha tu kawaida wala usimsingizie shetani kwamba alikupitia
3,taratibu jitahidi kuelewa 90zimeisha na ushapoteza labda ukipewa za nyoongeza kama zitakuwapo
4, kuwa mtu wa saprizes zawadi za hapa na pale onyesha kumjali ila si utegemee atakusamehe fanya kwa mapenzi yako
5, Alijaribu kujiua!??? ana upendo na upendo unaishi so usiache kumsihi na ujakikishe umejirekebisha utalipuka tu siku
6, Daahh pole narudia pole
Asante sana kwa ushauri wako chief
 
Pole mkuu, wanasema wahenga "ukiumwa na nyoka ukiona jani unashtuka" kosa si kosa Bali kurudia kosa ndiyo kosa na wala usiichukie kazi ile wala waliokupa , sijui umri wako na ushapitia mangapi ktk maisha, ila Nina imani umri wako si mkubwa sana japo ushamaliza chuo , kitendo cha kupata hela ghafla kikafanya uvamie starehe maana ni hela nyingi kwa wingi kama ulivyosema. Nikufariji tu kuwa shukuru sana mkuu maana kuna wengine wanapatwa na magonjwa kama HIV sababu ya starehe, kwa chini jipange wadada wa aina ya huyo wapo wengi polepole utapata kama yule, ila jifunze mkuu huyo utakayempata usimtenxe tena na huyo wa zamani sasa ana mwenzake usimwaribie mwache afanye maisha yake. Usijione shetani, ni hali ya kutoijua dunia tu, na mtu aliyefanikiwa kuna mahala aliteleza akajifunza ndo akawa na nidhamu ya maisha. Sasa utakuwa na nidhamu ya maisha, rudisha thamani yako ktk moyo wako songs mbele utapata kama yule au hats zaidi ya yule.
Asante kaka
 
Back
Top Bottom