Ukipata watoto watatu kama hawa baaasii!!!!.......

Mh! Huruma kwa magaidi, kumbe wanatambua wakifanyacho si kizuri mbele ya Mungu na jamii
 
mkuu tuheshimiane, tusitafutiane ban bure...mambo ya kumtukana mtume wetu koma kabisa.....

acha panic kijana.
ameongea aliyojisikia kuongea..
ukome kuwakaripia watu.
mjibu kwa hoja,atakuelewa
 
mkuu tuheshimiane, tusitafutiane ban bure...mambo ya kumtukana mtume wetu koma kabisa.....

Siku zote anayetukana hana hoja.Ndio tabia za hawa ndugu zetu Wakristu kututukana na kutukana matukufu yetu.Halafu tunahubiri tupendane!!Tumejaa unafiki wakati nafsi zetu zinatoa laana.Mwenyezi Mungu Amsamehe maana hata huyo Yesu(amani iwe juu yake) hakutukana na aliishi kama sisi isipokua hakuwa na dhambi.Sasa ikiwa anayejiita mfuasi wa Yesu(amani iwe juu yake) anatukana wakati Yesu(amani iwe juu yake) hakutukana,basi huyo anamfuata nani???Na kutukana hakuondoi utukufu au utakatifu wa mtu bali tulishaambiwa"mtawajua kwa matendo yao"
 
Hao ni wafuasi wa shetani sio wafuasi wa Yesu.Shetani ana wafuasi wengi.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, dunia inateketea kwa kupigania kitu kinachoitwa dini what a stupid ideology
 
DUh mimi sielewi tangu zama za kale uislamu ulivuruga dunia kwan madai ya kuutetea uislamu naomba mtue anaye uelewa uislamu vizuri anijibu haya maswali 1 JE UISLAMU UNARUHUSU KUMUUA BINADAMU-? 2 JE MTU ASIYE AMIN UISLAM ANAKUBALIKA KATIKA ULIMWENGU HUU WA USASA?
 
mkuu tuheshimiane, tusitafutiane ban bure...mambo ya kumtukana mtume wetu koma kabisa.....

Marehemu Mohamed mtume wenu anaitwa Mohames S.A.W. Huyo Mohamed aliyetajwa na uliyem-quote ni Mohamed wa Malapa anauza juice ya miwa mapipa...Usitokwe povu kijinga mkuu kamusi
 
Last edited by a moderator:
Wanapigana Jihad: Sasa Nimeshtuka sana baada ya kukutana na haya Mafunzo ya Kiislamu na Jihad.

duuh hatari sana,hawa mashehe wao wanaowafundisha ugaidi wanatafuta mbinu za kugonga tigo za hao mujahideen wao kwa kutumia jina la allah lakini si ajabu iwapo mtu yuko tayari kufa ili kutekeleza jihad sembuse kuliwa tigo kwa dhumuni hilo hilo! inawezekana sana hata Osama bin laden alikuwa anakula sana tigo za hawa mujahideen kwa jina la allah! huu ugaidi ni uhalifu wa hali ya juu sana maana wanajihusisha na madawa ya kulevya, kulawitiana wenyewe kwa wenyewe halafu kuna mambumbumbu Fulani wanawashabikia wakidai wanatekeleza imani! imani potofu kabisa ya kutumia na kuuza madawa ya kulevya(wataleban), kulawitiana na upuuzi kama huo. Wote wanaoshabikia wana hamu ya kwenda kufumuliwa marinda na akina mullah, hawana lolote! Mbona wakristo huku afrika hawashabikii itikadi za ushoga zinazopigiwa debe na makanisa ya magharibi na badala yake makanisa ya afrika yanapinga kwa sauti kubwa lakini wenzetu kila jambo atakaloanzisha mwarabu wanalipokea na kulitetea kwa nguvu bila kupima kwa busara, mwarabu na mzungu si miungu!mbona wao mambo yetu wanayadharau na kuyaona ni ya kishenzi!
 
Last edited by a moderator:
Wangekuwa hawana huruma angetoka mtoto pale?

mbona wameua watoto na watu wengine!? kigezo gani walitumia kuua wengine na kuwanusuru wengine? kwa maoni yangu hao waliopona ni kwa matakwa ya Mungu na wala si kwa huruma za hao madhalimu unaowatetea! kwa mitazamo yenu hii huwa inakuwa ngumu sana kutenganisha ugaidi na uislam maana kila maovu haya yanapotendeka huwa hatuoni waislam wengine wakipaza sauti au kuandamana kwa umoja kulaani jina la dini yao kutumiwa katika kufanya maovu! ila ikichorwa katuni ya mtume Mohamed n.k ndio utaona waislam wanalaani kwa sauti kubwa na kuingia mitaani kuandamana mitaani na kufanya vurugu!Tumewaona akina joseph kony na genge lake la LRA wakifanya maovu kwa jina la ukristo lakini wapi uliona wakristo wakishabikia genge hilo zaidi ya kuwalaani na kuwapinga! wakristo wanajua imani yao na imani ya mkristo haiyumbishwi na na mtu yoyote hata kama ni kiongozi wa dini, wakristo wanaongozwa na neno sio mtu! Hata leo hii atokee kiongozi wa juu wa kikristo ahamasishe wakristo kuua waislam hatofanikiwa lengo lake kwa kuwa ukristo hauongozwi na akili za binadamu au ibilisi bali na Roho Mtakatifu!
 
Mungu wetu mwema atuhurumie! Atusimamie na kutuonyesha nini cha kufanya na kusema wakati utakapofika! Ila sitaikana imani yangu ng'o!
Omba Mungu akusaidie. Mtume Petro aliukimbia mji wa roma kukwepa asiuawe pale kaisari Nero alipoamua kuangamiza wakristu. Njiani akakutana na mtu ambaye hakumfahamu mara moja ila akahisi atakuwa mkristu. Hivyo akamsihi asiuendee mji wa roma maana nero alikuwa akiwaangamiza wakristu. Yule mtu akamwambia 'Lazima niende ili nikasurubiwe tena'. Mara yule mtu akatoweka na fahamu zikamuijia tena Petro akatambua kuwa alikuwa amekutana na Bwana. Petro akapata nguvu mpya akarudi roma akawaambia wale watesi yuko tayari kuuwawa. Kwa vile walikuwa wanasulubiwa msalabani, yeye akaomba wamsulubishe kichwa chini miguu juu maana hakuona kama anastahili kusulubiwa kama Bwana wake, Yesu Kristu. Nilichotaka kusema hapa kuwa 'ushahidi' siyo jambo jepesi, hata Petro mwenyewe alishauogopa, ila kwa neema ya Mungu akajaliwa nguvu ya kuupokea.
 
duuh hatari sana,hawa mashehe wao wanaowafundisha ugaidi wanatafuta mbinu za kugonga tigo za hao mujahideen wao kwa kutumia jina la allah lakini si ajabu iwapo mtu yuko tayari kufa ili kutekeleza jihad sembuse kuliwa tigo kwa dhumuni hilo hilo! inawezekana sana hata Osama bin laden alikuwa anakula sana tigo za hawa mujahideen kwa jina la allah! huu ugaidi ni uhalifu wa hali ya juu sana maana wanajihusisha na madawa ya kulevya, kulawitiana wenyewe kwa wenyewe halafu kuna mambumbumbu Fulani wanawashabikia wakidai wanatekeleza imani! imani potofu kabisa ya kutumia na kuuza madawa ya kulevya(wataleban), kulawitiana na upuuzi kama huo. Wote wanaoshabikia wana hamu ya kwenda kufumuliwa marinda na akina mullah, hawana lolote! Mbona wakristo huku afrika hawashabikii itikadi za ushoga zinazopigiwa debe na makanisa ya magharibi na badala yake makanisa ya afrika yanapinga kwa sauti kubwa lakini wenzetu kila jambo atakaloanzisha mwarabu wanalipokea na kulitetea kwa nguvu bila kupima kwa busara, mwarabu na mzungu si miungu!mbona wao mambo yetu wanayadharau na kuyaona ni ya kishenzi!
Teh teh teh..! Halafu anaanza kuwatambia wenzake kuwa yeye kaliwa 0713 na Osama mwenyewe hivyo ni gaidi zaidi ya wale walioliwa 065 na akina Mullah na wengine wa chini chini.
 
mbona wameua watoto na watu wengine!? kigezo gani walitumia kuua wengine na kuwanusuru wengine? kwa maoni yangu hao waliopona ni kwa matakwa ya Mungu na wala si kwa huruma za hao madhalimu unaowatetea! kwa mitazamo yenu hii huwa inakuwa ngumu sana kutenganisha ugaidi na uislam maana kila maovu haya yanapotendeka huwa hatuoni waislam wengine wakipaza sauti au kuandamana kwa umoja kulaani jina la dini yao kutumiwa katika kufanya maovu! ila ikichorwa katuni ya mtume Mohamed n.k ndio utaona waislam wanalaani kwa sauti kubwa na kuingia mitaani kuandamana mitaani na kufanya vurugu!Tumewaona akina joseph kony na genge lake la LRA wakifanya maovu kwa jina la ukristo lakini wapi uliona wakristo wakishabikia genge hilo zaidi ya kuwalaani na kuwapinga! wakristo wanajua imani yao na imani ya mkristo haiyumbishwi na na mtu yoyote hata kama ni kiongozi wa dini, wakristo wanaongozwa na neno sio mtu! Hata leo hii atokee kiongozi wa juu wa kikristo ahamasishe wakristo kuua waislam hatofanikiwa lengo lake kwa kuwa ukristo hauongozwi na akili za binadamu au ibilisi bali na Roho Mtakatifu!

Kama wamepona kwa matakwa ya Mungu basi uelewe kufa pia ni kwa matakwa ya Mungu.

Wakenya waanpoua kule Somalia? ni matakwa ya Mungu, Alshabaab wakilipiza kisasi, matakwa ya shetani, si ndio?

Tuwache ujinga, tuwe wa kweli. Vita ni vita hata iwe ya panzi kufa kutakuwepo. Kenya waondoke Somalia halafu tuone Wasomali wakija kuteka maduka mengine kama sisi hatujawa wa kwanza kwenda kuwasshambulia.

Muislaam hapigwi shavu la kushoto akakugeuzia na la kulia. Ukimlamba kofi na yeye anakulamba kofi, na la kulipiza huwa linauma zaidi.

Kumbuka waliokufa pale si Wakristo pekee, na Waislaam wamekufa na Wahindu na wengine hata hatujui dini zao. Hakuna anaeshinda katika vita. Kenya iondoke Somalia kama kweli ina nia ya haya mauaji yasiendelee.
 
mi ningekuwepo ningekifanya muislam na kusema takbir alakbal nyingi ili wajuw mwenzao waniachie

wangekuomba id yako halafu wakute ina jina la kigalatia ungesema LAKI TANO NA NUSU ni LAKI TANO NA ELFU HAMSINI AU I LAKI TANO NA LAKI MBILI NA NUSU!!!
 
Tuache kufikilia kwa kwa kutumia makalio uislam hauusiani na mauwaji wale ni wahuni tu wanatuima uislam ili kuchafua uislam ingekuwa uislam unahimiza mauwaji basi hao mama zenu ambao wamezaa na wakristo wangewauwa tangu tumboni au pasingekuwepo watoto wa aina hiyo
 
Emwenyezi munguuu nipemoyo wa uvumilivu kuwa penda hawa nduguzetu maana wa ndani yetu, twala nao twanywa nao, twaingia mlango mmoja ofisinji nakutoka, twashirikiana sote katika mambo na shughuri za kijamii. maana kilamoja akifuata mioyo yetu hap0a dunia hapatakuwa mahali salama tana pakuishi.na mwezi mungu uwasamehe kwa yote waliyo tenda maana ulisema wasameheni saba mara sabini, naomba pia ndugu za wahanga wa shambulio hilo wapate wepesi wa kuwasamehe ingawaje nivigumu, kwani hakuna lisilo wezekana mbele ya muumba wetu.
 
Back
Top Bottom