Ukipata watoto watatu kama hawa baaasii!!!!.......

Ukipata watoto watatu kama hawa baaasii!!!!.......

Kama wamepona kwa matakwa ya Mungu basi uelewe kufa pia ni kwa matakwa ya Mungu.

Wakenya waanpoua kule Somalia? ni matakwa ya Mungu, Alshabaab wakilipiza kisasi, matakwa ya shetani, si ndio?

Tuwache ujinga, tuwe wa kweli. Vita ni vita hata iwe ya panzi kufa kutakuwepo. Kenya waondoke Somalia halafu tuone Wasomali wakija kuteka maduka mengine kama sisi hatujawa wa kwanza kwenda kuwasshambulia.

Muislaam hapigwi shavu la kushoto akakugeuzia na la kulia. Ukimlamba kofi na yeye anakulamba kofi, na la kulipiza huwa linauma zaidi.

Kumbuka waliokufa pale si Wakristo pekee, na Waislaam wamekufa na Wahindu na wengine hata hatujui dini zao. Hakuna anaeshinda katika vita. Kenya iondoke Somalia kama kweli ina nia ya haya mauaji yasiendelee.

wewe ngozi ya ------ unasema wakenya waondoke Somalia,wakati wasomali wapenda amani na serikali yao wanatamani hata majeshi ya mataifa mengne yaende yakawaokoe kutoka ktk ugaidi wa alshabab..Somalia vita haijaanza leo wala jana na haohao alshabab ndo wanaofanya mashambulizi kwa wasomali wenzao kbl hata wakenya hawajaamua kwenda kupambana nao baada ya kuona wanateka meli na raia wao mipakani..Sasa nakushangaa wewe kilaza unayejifanya una uchungu sana kuliko wasomali wenyewe
 
Tuache kufikilia kwa kwa kutumia makalio uislam hauusiani na mauwaji wale ni wahuni tu wanatuima uislam ili kuchafua uislam ingekuwa uislam unahimiza mauwaji basi hao mama zenu ambao wamezaa na wakristo wangewauwa tangu tumboni au pasingekuwepo watoto wa aina hiyo

mbona hamuandamani kama hampendi wayafanyayo..Unafiki tu,hadharani mnajifanya hampendi mkiwa misikitini mnawapongeza..mnaandamana kwa mauaji ya wapalestina yasiyowahusu kwa nde wala sikio ndo mshndwe kwa Alshabab kuwachafua?uislamu,ugaidi ni kitu kimoja kama Kota na Pichu
 
DUh mimi sielewi tangu zama za kale uislamu ulivuruga dunia kwan madai ya kuutetea uislamu naomba mtue anaye uelewa uislamu vizuri anijibu haya maswali 1 JE UISLAMU UNARUHUSU KUMUUA BINADAMU-? 2 JE MTU ASIYE AMIN UISLAM ANAKUBALIKA KATIKA ULIMWENGU HUU WA USASA?

Jibu 1) Uislamu hauruhusu kuua mwanadam asie hatia
2)Wasio waislamu wana nafasi sawa na wasio waislam. Rejea Quran 2:256 ''Hakuna kumlazimisha(Mtu kuingia) katika Dini''.
 
wewe ngozi ya ------ unasema wakenya waondoke Somalia,wakati wasomali wapenda amani na serikali yao wanatamani hata majeshi ya mataifa mengne yaende yakawaokoe kutoka ktk ugaidi wa alshabab..Somalia vita haijaanza leo wala jana na haohao alshabab ndo wanaofanya mashambulizi kwa wasomali wenzao kbl hata wakenya hawajaamua kwenda kupambana nao baada ya kuona wanateka meli na raia wao mipakani..Sasa nakushangaa wewe kilaza unayejifanya una uchungu sana kuliko wasomali wenyewe

Kenya itangaza vita na Alshabaab na haiko pale kwa ajili ya kulinda amani. Elewa tofauti ya kulinda amani na ktangaza vita.

Somalia wanaopigana si Alshabaab pekee, ni wengi sana. Karibu kila kabila ni adui ya kabila lingine. Alshabaab pekee ndio unakuta kabila zote za Kisomali zimeungana. Soma!
 
Kama wamepona kwa matakwa ya Mungu basi uelewe kufa pia ni kwa matakwa ya Mungu.

Wakenya waanpoua kule Somalia? ni matakwa ya Mungu, Alshabaab wakilipiza kisasi, matakwa ya shetani, si ndio?

Tuwache ujinga, tuwe wa kweli. Vita ni vita hata iwe ya panzi kufa kutakuwepo. Kenya waondoke Somalia halafu tuone Wasomali wakija kuteka maduka mengine kama sisi hatujawa wa kwanza kwenda kuwasshambulia.

Muislaam hapigwi shavu la kushoto akakugeuzia na la kulia. Ukimlamba kofi na yeye anakulamba kofi, na la kulipiza huwa linauma zaidi.

Kumbuka waliokufa pale si Wakristo pekee, na Waislaam wamekufa na Wahindu na wengine hata hatujui dini zao. Hakuna anaeshinda katika vita. Kenya iondoke Somalia kama kweli ina nia ya haya mauaji yasiendelee.

Ibilisi ndie anafanya maovu ila Mungu ndie anaeokoa na kuponya, umeshadhihirisha bila shaka hapo juu kuwa mungu wenu ndie anaewatuma kufanya maovu,kuua n.k TERRORISM IS THE PHILOSOPHY OF THE COWARDS-Uhuru Kenyatta, it's very true- maana wanawakimbia wanaume wenzao kwenye battle ground wanakwenda kuua raia wa kawaida,watoto wachanga na wanawake ambao wako unarmed -what a shame! halafu wanajisifu ni mashujaa! Hakuna tofauti na mwanaume apigwe na kidume mwenzake halafu yeye ajisifu eti kalipa kisasi kwa kumchapa makofi mtoto wa miezi sita wa hasimu wake!
 
mbona wameua watoto na watu wengine!? kigezo gani walitumia kuua wengine na kuwanusuru wengine? kwa maoni yangu hao waliopona ni kwa matakwa ya Mungu na wala si kwa huruma za hao madhalimu unaowatetea! kwa mitazamo yenu hii huwa inakuwa ngumu sana kutenganisha ugaidi na uislam maana kila maovu haya yanapotendeka huwa hatuoni waislam wengine wakipaza sauti au kuandamana kwa umoja kulaani jina la dini yao kutumiwa katika kufanya maovu! ila ikichorwa katuni ya mtume Mohamed n.k ndio utaona waislam wanalaani kwa sauti kubwa na kuingia mitaani kuandamana mitaani na kufanya vurugu!Tumewaona akina joseph kony na genge lake la LRA wakifanya maovu kwa jina la ukristo lakini wapi uliona wakristo wakishabikia genge hilo zaidi ya kuwalaani na kuwapinga! wakristo wanajua imani yao na imani ya mkristo haiyumbishwi na na mtu yoyote hata kama ni kiongozi wa dini, wakristo wanaongozwa na neno sio mtu! Hata leo hii atokee kiongozi wa juu wa kikristo ahamasishe wakristo kuua waislam hatofanikiwa lengo lake kwa kuwa ukristo hauongozwi na akili za binadamu au ibilisi bali na Roho Mtakatifu!

pole povu linakutoka. Je unamKumbuka kibwetele
 
mbona hamuandamani kama hampendi wayafanyayo..Unafiki tu,hadharani mnajifanya hampendi mkiwa misikitini mnawapongeza..mnaandamana kwa mauaji ya wapalestina yasiyowahusu kwa nde wala sikio ndo mshndwe kwa Alshabab kuwachafua?uislamu,ugaidi ni kitu kimoja kama Kota na Pichu

hiyo wewetu nachuki zako
 
Ibilisi ndie anafanya maovu ila Mungu ndie anaeokoa na kuponya, umeshadhihirisha bila shaka hapo juu kuwa mungu wenu ndie anaewatuma kufanya maovu,kuua n.k TERRORISM IS THE PHILOSOPHY OF THE COWARDS-Uhuru Kenyatta, it's very true- maana wanawakimbia wanaume wenzao kwenye battle ground wanakwenda kuua raia wa kawaida,watoto wachanga na wanawake-what a shame! halafu wanajisifu ni mashujaa! Hakuna tofauti na mwanaume apigwe na kidume mwenzake halafu yeye ajisifu kwa eti kulipa kisasi

Huijui vita. Uwanja wa mapambano ni popote pale patapo-kuumiza zaidi. Alshabaab wamesha sema, kama hamuondoki kwao basi na kwenu ni uwanja wa mapambano tena pale patapowauma zaidi. Ni nini usichokielewa hapo?
 
mods hii ingefungwa maana ina maneno yanayokera ambayo wachangiaji hawajui kuheshimiana na kuheshimu dini au imani .za wengine ...
 
Back
Top Bottom