Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18).
Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17)
Pasipo Haki, hakuna Amani.
Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22)
Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania. Haki Itamalaki, Haki itawale, Haki ishinde kila kitu.
Tuungane pamoja kwa Imani kama Taifa kusali tukimuomba Mwenyezi Mungu atusikie na Atende sawa sawa na mapenzi yake.
View: https://youtu.be/PK-oWobxdtk?si=BrXtC4ZqjIEKaNf2