Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 27,655
- 72,084
Kuna mtu hiyo anaiteketeza siku moja alafu kesho ana hata mia mbovu. Kuna wale wakipata hela wanapatwa na ukichaa sijui yani hawezi kutulia mpaka iishe yote.Ingawa milioni huwezi kuila siku 3 labda kama umelipa madeni sawa. Ila kama hujalipa madeni ukala milioni moja ndani ya siku 3 unataka maombi, ni matumizi mabaya ya pesa.