MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Habari .
Ukipata nini kwenye maisha nafsi yako itatulia na utasema umefanikiwa?
Ukipata nini kwenye maisha nafsi yako itatulia na utasema umefanikiwa?
Una helaNinachokosa maishani ni namba yako tu mtoto MZURI SANA nibless nayo.
HongeraNikipata mwanamke ambaye hatakuwa na wivu wa kishamba, Ndinga safi, Nyumba na Watoto na Biashara ya kuniingizia angalau 150k kwa siku.
Sasa hapo ndo umeongea sasa !! Napenda watu open kama wewe .Una hela
150k per day. Bado niona ni ndogo kwangu, Kun wat wana costa tatu hio kuipata ni uhakika.Nikipata mwanamke ambaye hatakuwa na wivu wa kishamba, Ndinga safi, Nyumba na Watoto na Biashara ya kuniingizia angalau 150k kwa siku.
Costa tatu zote hizo za nini ? Ukiwa na business ambayo mzunguko wake ni mzuri. Kwa mwezi unakua unaingiza kama 4.5m150k per day. Bado niona ni ndogo kwangu, Kun wat wana costa tatu hio kuipata ni uhakika.
Wivu lazima weweNikipata mwanamke ambaye hatakuwa na wivu wa kishamba, Ndinga safi, Nyumba na Watoto na Biashara ya kuniingizia angalau 150k kwa siku.
Aaaah mama, wivu uwepo ila uwe kidogo basi. Sasa wivu hadi tunashindwa kupewa ma-deal kisa wivuWivu lazima wewe
Utakufa ukiwa na bukuI want billions of money
Kwanini mkuu..? Na waonyesha unamakasiriko namimi..?Utakufa ukiwa na buku
Kuku wewe
Don't stop till you get enough MJHabari .
Ukipata nini kwenye maisha nafsi yako itatulia na utasema umefanikiwa?