Ukiota unafanya mapenzi na baba/mama au kaka/dada yako

Ndoto ni mawazo yako mwenyewe unayoyawaza. Acha huo upumbav.u.
Kwa wanaojua msaada tafadhali, nimeamua kuja kwenu baada ya hii hali kunitokea mara nyingi, hivi vitu vinaashiria nini?

Katika hali isiyokuwa ya kawaida unajikuta mara kadhaa kwa nyakati tofauti unaota unafanya nilichokiandika hapo juu na mmojawapo ya kati ya hao, na yanatokea hayo wakati upo na mpenzi wako, na huyo unayemuota yuko mbali Km 1000 na hamjaonana miaka mitatu.

Wenye kujua hili nipeni msaada tafadhali, nini kifanyike ili kudhibiti hii hali na kwanini inatokea?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisikiliza YouTube somo fulani la mwakasege na alisema hivi ukiota unazini na mtu wa familia yako baba/mama/Kaka/Dada.. nk maana yake ni kwamba unafuatiliwa na Roho ya kukataliwa,mashambulizi katika mwili mfano magonjwa, Roho ya mauti inakuandama na roho ya laana inakuandama..
Alitoa pia muongozo jinsi ya kuombea ndoto hizi
1..omba toba kwa ajili ya mlango wa ndoto kufunguka na kuruhusu ndoto na mashambulizi ya aina hiyo
2..vunja muunganiko wowote baina ya Roho yako na roho zilizoingia kupitia ndoto hizo na uharibu mbegu zilizopandwa kupitia ndoto hizo mf uasherati ili zisiote..
3...omba uponyaji katika vyote vilivyoharibika baada ya kuanza kuota ndoto hizo mf afya,uchumi, mahusiano. Omba uponyaji wa kiroho na kimwili.
4..Omba neema ya Mungu ikusaidie kurejesha kwa upya mahusiano yako na Mungu.
5..omba utakaso kwa ajili ya eneo ambalo katika ndoto uliona umefanyia tendo Hilo,Ombea ardhi ya eneo Hilo.
Kwa msaada zaidi search YouTube jinsi ya kutafsiri na kuombea ndoto kibiblia (1kor 5:1-5) (mambo ya walawi 20)
 
Nime jifunza kitu.
 
Back
Top Bottom