Ukiondoa azam na dstv ni king'amuzi gani bora kati hivi vifuatavyo?

Mnanifanya niamini kwamba nipo pahala sahihi
Basi sawa sihami DSTV ushuhuda huu unanitosha maana nimekuwa niktamani sana kuhamia Azam lakini channels za documentary kama NaoGeo na zingine nyingi nikawa nasita
kbs mkuu
 
Hii ya dish la kawaida inakuaje hebu fafanua manake startimes ni ushuzi mpyabkwenye hii nchi ndg yangu.Nataka niachane na hii kwakua dstv simudu gharama hata nukta
Nunua king'amuzi chako cha mpg4, nunua dish la futi 6, nunua KU . Pata fundi wako akufungie. Ukishindwa futi 6 nunua dish la azam
 
Back
Top Bottom