Vitakuja vingi sana ambavyo hatuvifikirii kwa hivi sasa.
Kwa jinsi tekinolojia inavyobadilika na kukua siki hadi siku vizazi vitakavyokuja usishangae hata gari ikawa inaendeshwa kwa remote hakuna kushika usukani wala kukanyaga kanyaga, unakaa kwenye siti ya nyuma huku ukiwa unaendelea kuweka mapicha jukwaa la picha au kukawa na program ambayo unaiprogram gari yako labda mfano Dar-Arusha wewe baada ya hapo unaendelea na shughuli zako au kulala mwisho wa safari inasimama yenyewe. Na barabara zinakuwa za kidijitali zaidi pia kwa magari ambayo yatakayokuwa kwenye program