Ukiona utadhani

Ukiona utadhani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417761285904.jpg
 
Kuna wimbo wa zamani "zilipendwa" uliimbwa nadhani na SIKINDE - CHATU MAJINI, kumbe chatu ndio huyu, thanx!
 
Hebu siku tumfanyie suprise ya huyu mdudu live hasahasa siku ya boxing day tuone itakuwaje
Au tumuanzie na yule wa mpira, nakumbuka udogoni nilinunuliwa nyoka wa mpira nikawa naenda sehemu ambayo nikikuta kundi la watoto wa kike au wamama hivi mfano wanasukana nawatupia lazima usikie mayowe hapo huku watu wazima(wasichana kwa wakati huo) wanatambaa na wengine wanalia machozi yanawatoka.

Walikuwa wananiambia wewe mtoto una lana baadae nikienda kumuokota nyoka wangu wa mpira
 
Hahahahaaa zamani zile tuliitwa watoto watukutu
 
Back
Top Bottom