Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Wanawake hawaeleweki wanataka nini hasa maishani, ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa.

Akiwa na mwanaume tajiri atataka masikini na akipata masikini atataka tajiri.

Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa, utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM ukimcheki Whatsapp Mara hajibu akijibu anajibu baada ya masaa 4, sasa kama haujisikii unatoa namba ya nini?

Hivi hamjui Teckno hazichelewi kujaa! Memori kadi.

images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom