Ukiona picha hizi zinakukumbusha nini

Pale unapokuwa umedoea msosi kwa jirani, au umetoka kwenye boli/soccer kucheza mtaani umezamia harusi/kipaimara/hitms katikati
Ya msosi unamuona mama anakukata jicho flani hivi, wewe na yeye tu ndio mnaelewana yaaani ondoka fasta nisikuone hapo.
 

Attachments

  • NAM_090308_644_xw_bigthumb.jpg
    11.9 KB · Views: 337
Yani kijiradio chetu kilikuwa kinatafuna sana kanda, nikishaona imeharibika narudisha kwenye kasha lake nakaa kimyaaaaaa, lakini wakirudi wanajua tu kuwa ni Mimi... Utoto raha sanaaa

Chombo bado kipo na kinadunda mpaka leo [emoji3] [emoji1] [emoji4]
 
Duh! Huwa napitaga kimya kimya,lakini wewe umenichekesha
 
Bi mkubwa alikuwa fundi sana wa kufinyanga vyungu.
Ndani unakuta kuna mitungi miwili ya maji.Mwingine upo nje.
Uwani/chooni chungu kubwa la kuogea.
 
Asante kwa jibu lako, nami nilihisi ni kitu hicho ila sikuwa na uhakika kama ni chenyewe.
 
hii kitu madam nyamchele ilikuwa ni raw material ya kutengenezea Magari ya bati pia(watoto na vijana). Huwezi kukuta hili kopo jalalani kirahisi.
la pili kushoto
hii mambo nimecheza mpaka darasa la saba, binti yangu sasa hawezi hata kutengeneza mwanasesere wa vitambaa, kwa maana akitaka anampata wa dukani. watoto wakimujini sikuhizi hata mira ya kuchezea mpaka dukani.
 
Maji ya kwenye mtungi ya baridi sana wakati wote. Siku hizi kuna freezers watu wamesahau mambo ya kale.
 
Maji ya kwenye mtungi ya baridi sana wakati wote. Siku hizi kuna freezers watu wamesahau mambo ya kale.
Mkuu ni kweli ukiweka maji kwenye mtungi yanakuwa baridi hata kwa hali ya hewa ya dar?
 
Nimejikuta nachekaaaaa[emoji13] [emoji3] [emoji3]
 
Enzi hizo apple na blackberry yalikuwa ni matunda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…