Ukiona mume na mke hawazungumzi ndani ya gari, elewa kuwa ni wanandoa

Mbona Neno Dunia lina herufi 3 ila kuna utitiri Wa Mambo humu duniani...

Dunia INA wizi,fitina,husuda, kwenye roho nzuri,wanyam,misitu,binaadamu,Makinikia , Pyongyang, Na wewe pia. Ulitaka jina la dunia liwe la paragraph milioni 90000..



Huo ndio ukweli ndoa nyingi za kibongo hazina furaha, Nimewahi kufanya kazi Ustawi Wa jamii na kukutana na familia kama 9 hivi Mke na Mme hawaongei zaidi ya miaka mitano... Narudi tena Mke na Mme hawaongei zaidi ya Miaka mitano ...



Unaweza usiamini ila siku moja nenda ofisi yoyote ya Ustawi Wa jamii ndio utajua mleta mada anamaanisha nini.

Sent From My Nokia Ya Tochi
NDOA 9! Ndani ya kipindi gani? Anyway, ni KWELI ndoa nyingi hazina furaha(na sababu ni nyingi pia), ingawa mfano uliotumia kuhalalisha utafiti wako HAUTOSHI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa watazungumzaje na wakati wewe uliyepewa lifti upo unawaskiliza?
Believe me, ukishuka ndani ya gari tu wao wataendelea na maongezi yao kama kawaida...
point

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Sasa watazungumzaje na wakati wewe uliyepewa lifti upo unawaskiliza?
Believe me, ukishuka ndani ya gari tu wao wataendelea na maongezi yao kama kawaida...
Kweli mkuu na hii ndo sababu watu tunatakiwa tujifunze kwamba ukiona jirani yako kakupita bila kukupa lift usilalamike maana wakati mwingine huwa tunawaletea giza kwenye mazungumzo yao
 
Back
Top Bottom