Ruta, kauga and kigarama mmenifanya nisahau mengi niwaze zenu fikira ambazo najiuliza huwa mnawezaje kuyapata haya mashairi? binafsi sijui hata kutunga kawimbo ka kumbembeleza mtoto u can imagine jins ambavyo nawafeel kwa haya mashairi. keep it up
[MENTION]
gfsonwin[/MENTION]..........ufunguo wake ni kupenda na kujizoeza kama mimi nilivyotaka kufahamu siri ya tenzi za mahaba.............hakuna njia nyingine usijali mwanzoni hazitakuwa nzuri lakini mwishowe utakuwa gwiji
RUTA ilike u.. yaan ww hdari sana,, unajua kupangilia mistari. NA watu wanasema MUOGOPE MWANAADAMU KWA AKILI YAKE USIOGOPE MANENO YAKE,, kama ushair wako kuwa hujui mtu kilichomo moyon mwake anawaza nn, hongera mkuu mm nmekukubali
Rutashubanyuma hakika wasifika kwa kipaji
Kutoa yalo moyoni kuyaweka kwenye maandishi
Twashukuru kwa chako kipaji utenzi kukamilika
Moyo hauna subira ijapo kwa kiasi
Hukumbuki ulituletea Uzi wenye kibwagizo hicho ? Ulipoweka Red ?
Au nime'confuse mimi ? Hukua wewe ?
Au mkuu ukishatoa Uzi , hukumbuki nyuzi zilizopita?