Ukiona hivi jua umechokwa!!

purple,nitakuwa nime-ku-miss-judge only if ktk mahusiano yako unafanya hayo niliyodhani hufanyi,then i say am sorry

kutumia simu,ni point isiyo na mashiko,wenzako tunatumia sana simu pengine kuliko wewe,lakini tukiona like zimeingia kama 10 tunatafuta pc,tunatupia japo ka-like kamoja kaku-balance tu mahusiano....kujali au ku-care is a two way action,kama mawasiliano!

kwa mara nyingine,samahani kama nimekukwaza,nilidhani nakusaidia maana niliona post yako imekaa kama personal experience!nikajua ushachokwa tayari!

hii thread haihusiani na maisha yangu binafsi ila ni hali inayoweza kumkuta mtu yoyote..huku niliko hata kwa jirani hakuna PC ndugu!
 
Na dalilo za wewe kumchoka yeye ni hizi:
>kutotoka nae kwny majumba ya starehe
>kutopenda kuongozana nae
>kumgombeza mbele ya watoto au watu wanaomheshimu
>kutomwachia hela ya matumiz etc.
 
Tahadhari:

Haya yote haimaanishi hakupendi, anakupenda sana sema tu kachoka mambo yako yasiyovutia!

na ndo maana kwenye title nimesema ukiona hivi jua umechokwa na sio ukiona hivi jua hupendwi!!
 
Na dalilo za wewe kumchoka yeye ni hizi:
>kutotoka nae kwny majumba ya starehe
>kutopenda kuongozana nae
>kumgombeza mbele ya watoto au watu wanaomheshimu
>kutomwachia hela ya matumiz etc.

well said paka jimmy pokea likes za kusadidika kutoka kwenye kimeo changu cha kichina!
 
Last edited by a moderator:
>atapunguza mahaba na wewe,sina maana ya ngono namaanisha mambo ya kimapenzi mfano kukujali,kukuheshimu na kukuthamini..
>anakua mgumu kupokea simu yako,hata akipokea hazungumzi maneno ya mahaba kama zamani..
>ukimwambia unampenda atakujibu asante tofauti na zamani..
>message zako hajibu hata akijibu itakua kwa mkato sana..
>anaonekana hana msisimko na wewe atakua mzito hata kuachia tabasamu akizungumza na wewe..
>hakuamini tena..
>hakufuatilii sana,mara nyingi anaonekana mwenye mawazo mengi akiwa na wewe..
>hafurahii anapokua na wewe hata uchangamfu wake unapungua..

Hayo yote uliyoandika hapo juu ndio huwa nayafanya pindi naazisha mahusiano mapya, ili isiwe kero baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom