Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

...Wewe ni 'Mzée Kijana ' !
...
 
...Ghafla unakuwa na Nafasi kubwa ya kwenda Kanisani Jumapili au Msikitini Ijumaa ! U Mzee !
...
 
Unachosema ni kweli japo kwenye kila kanuni kuna exceptions.
•Sipendi kelele kabisa, nikiwa peke yangu utadhani hakuna mtu, watoto wanaregulate sauti kila nikiwepo.
• Umoja kila mahali, vikundi kuanzia mtaani kwangu, kanisani, magrp ya shule na chuo....ni sehemu ya kutengeneza security.
• Salam za shkamoo, japo sipendi sana hiyo salam, na huwa siitoi kwa walionizidi.
Actually ukishapiga mid30s uzee unakuja taratibu ila kwa uhakika sana, kuna wakati unajiambia bado kidogo ila muonekano unakusuta.

Wakati ukuta, soon tutakuwa wazee wa umri, 60+ in the near future na generation yetu itapita.

Wengi wanaokata moto ni 1950s, yaani speed yao ni kubwa sana.
 
Mimi nilifuta social media kama Instagram huwa naboreka na habari za wasanii na entertainment, miaka ya nyuma nilikua naifuatilia sana miziki,movies nk
 

Hatari sana mkuu
 
TRUE MAN!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa huu uzee unaoanzia miaka 22 ni uzee wa nchi gani maana kila dalili unasema kuanzia miaka 20+
Hii post ina ujinga mwingi asee
 
Uzee ni kuanzia miaka sittin tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…