Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,627
- 28,572
Mbona huwa tunaota tumepanda fisi na tukiamka tunajikuta tupo kitandani? Hata ukiota unatumia choo ukiamka utajlkuta uko kitandani na uko kawaida tuu.
Mbona huwa tunaota tumepanda fisi na tukiamka tunajikuta tupo kitandani? Hata ukiota unatumia choo ukiamka utajlkuta uko kitandani na uko kawaida tuu.
Fisi sio choo mkuu..choo hakiwezi kubeba mimbaMbona huwa tunaota tumepanda fisi na tukiamka tunajikuta tupo kitandani? Hata ukiota unatumia choo ukiamka utajlkuta uko kitandani na uko kawaida tuu.