Ukiona choo ndotoni

Ukiona choo ndotoni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
IMG-20160124-WA0038.jpg
 
Mmh ...nijuavyo ni kwamba ukikitumia utalikuta kimba kitandani ukishtuka
 
Na ukiona papuchi je..Inafaa kwa matumizi
 
nakumbuka utoto nshaota sana nakojoa chooni kumbe namwaga kojo ktandani....!
Hiyo wtt wengi inawatokea..Cha kushangaza siku hizi hata nipate ndoto za dizain hiyo sikojoi..Uwa najiuliza kuna sayansi gani hapa
 
Hiyo wtt wengi inawatokea..Cha kushangaza siku hizi hata nipate ndoto za dizain hiyo sikojoi..Uwa najiuliza kuna sayansi gani hapa
Ni kwakuwa siku hizi huachi kibubu kijae
 
Dadafueni hili wajumbe msifaye masihara ktk hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom