Ukiona choo ndotoni usikitumie

Ushirikina tu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo Ni kweli kabisa Mimi naota sana ndoto ndani ya ndoto,wakat mwingine vita,wakati mwingine furaha.lakini hili Jambo Ni kweli tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu hebu soma hii
Mshana niliota nimepakwa kinyesi mwili mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Mshana niliota nimepakwa kinyesi mwili mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Mkuu kuna mdau aliuliza humu kuhusu kuota kuokota pesa sikuona majibu yako naomba utusaodie katika hili hasa hasa pale unapoota kuna mahali kabisa ukifika hapo ukifukua basi ni mwendo wa pesa tu iwe ni sarafu au noti,nitangulize shukrani
 
Mkuu naomba nisaidie, inawezekanaje sa ingine unakuta nipo usingizini kwenye ndoto alafu najua kabisa hii ni ndoto mfano naota nataka kuqnguka kwenye shimo au napambana na jambo baya napata ufahamu kwamba pambana utoke hii ni ndoto ata ongea au kemea na napqmbana hadi nastuka, yaani upo kwenye ndoto na unajua kabisa hii ni ndoto, sio wakati wote lkn ni zile nyakwti nnapokua kwenye ndoto za mahangaiko
 
Hapa kuna dhana tatu hivi
1. Roho yako imeenda kutangatanga na kukutana na misukosuko
2. Umelala vibaya hivyo njia ya hewa imezibwa
3. Umetembelewa na wachawi
Sorry kwa kuchelewa kukujibu
 
Mkuu kuna mdau aliuliza humu kuhusu kuota kuokota pesa sikuona majibu yako naomba utusaodie katika hili hasa hasa pale unapoota kuna mahali kabisa ukifika hapo ukifukua basi ni mwendo wa pesa tu iwe ni sarafu au noti,nitangulize shukrani
Ndoto mara nyingi huwa na tafsiri zaidi ya moja..kuota unaokota pesa kunaeza kuwa na tafsiri mbili au tatu
1. Kuna jambo utalifanikisha vizuri
2. Kuna pesa au kitu chako cha thamani utakipoteza (baadhi ya ndoto tafsiri yake huja kinyume)
3. Ndoto ya kawaida kutokana na matendo ama fikra zilizopita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…