na sisi wastaarabu moyo unapark kwa li mwanamke lo hovyo!Cha ajabu mtu wa hivyo ndio moyo unatia nanga hapo hata aje nani hakubandui...
Ndio kubalance huko sasa mkichaguana wastaarabu, hao wa hovyo mnamuachia nani 😁na sisi wastaarabu moyo unapark kwa li mwanamke lo hovyo!
Ndio kubalance huko sasa mkichaguana wastaarabu, hao wa hovyo mnamuachia nani
Nadhani wa hovyo akutane na wa hovyo mwenzie ili wawe wanaelewana.Ndio kubalance huko sasa mkichaguana wastaarabu, hao wa hovyo mnamuachia nani
Hahaha Shenzi kweli weweCha ajabu mtu wa hivyo ndio moyo unatia nanga hapo hata aje nani hakubandui.....moyo ahsante kwa kunifanya mi punda nigee na mijeredi kabisa