Ukiombwa msamaha unakaza kidogo,

Ukiombwa msamaha unakaza kidogo,

Kuna mchepuko wangu Huwa unaandika hivyo, simwelewagi. Kisichana kidogo wa 2002, mama ake ni age mate, yaani ningeweza kumzaa ila Ndo namkaza.
 
Mkuu hii inaonyesha ni meseji ya kwanza iliyokufurahisha na kuonyesha ni jinsi gani ulivyo kidume,nakushauri ukaiprinti na uweke lamination kabisa utundike ghto
 
Nawadharau sana watu wanaoleta chat za wenza wao humu.
 
Back
Top Bottom