Ukioa kwenye familia maskini na wewe ni maskini inabidi upambane sana kutoboa

konda msafi

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,666
8,588
Kuna mrembo flani wa kichina alinizimia kama miaka minne hivi imepita. Ni wale maingineers waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa.

Alinieleza baada ya kumaliza shughuli zilizomleta Tanzania alirudi kwao Beijing ila aliamua kurudi tena Tanzania kwa mambo yake binafsi.

Nilikutana naye mwaka 2013 hapa Dar kipindi hicho na mimi ndio nimerudi kutoka ng'ambo.

Alikuwa amepata accommodation sehemu ambayo nilikuwa nimepata kazi. Pale kulikuwa na wafanyakazi wengi ambao she did not get along with them.

Hivyo nilipoanza kufanya kazi nikawa mtu wa kupiga naye stori kila muda maana muda mwingi alikuwa yupo peke ake. So, nikawa nasikia kwa watu akiwaambia mimi ni gentleman na sifa kibao.

Kipindi hicho nilikuwa nina mtu wangu so sikuwa namfikiria huyu mchina kama naweza kutoka naye.

Mchina alinionyesha kila ishara kuwa amenipenda lakini mimi nilikuwa nimetekwa kwenye penzi la mbongo mwenzangu.

So, muda ulipofika mchina akasepa zake uchinani. Aliporudi kwao alinitumia email ndefu kuelezea hisia zake juu yangu. Kwao mambo safi, sasa hivi namkumbuka.
 
Nikweli mkuu kuhusu kichwa cha habari ila ndani umeanza kujisifia wewe baada yakutoa kitu cha muhimu umeanza kujifagiria wewe
Kiwa gentleman ama kusifiwa kwa namna yeyote ile.... Hiyo haimaanishi kwamba ndio shortcut ya kumpata mlimbwende na, hiyo haimaanishi kwamba basi utafanikiwa....
 
Mimi nina amini kwamba, mwanaume ukikufa masikini huo ni uzembe wako binafsi.
Lakini kuoa binti anae toka kwenye familia masikini, hiyo haimaanishi basi kwamba huyo binti ni/atakufa akiwa masikini.
 
Umeshindwa kupangilia visa,matukio na wakati.
Kuna mrembo flani wa kichina alinizimia kama miaka minne hivi imepita. Ni wale maingineers waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa. Alinieleza baada ya kumaliza shughuli zilizomleta Tanzania alirudi kwao Beijing ila aliamua kurudi tena Tanzania kwa mambo yake binafsi. Nilikutana naye mwaka 2013 hapa Dar kipindi hicho na mimi ndio nimerudi kutoka ng'ambo. Alikuwa amepata accommodation sehemu ambayo nilikuwa nimepata kazi. Pale kulikuwa na wafanyakazi wengi ambao she did not get along with them. Hivyo nilipoanza kufanya kazi nikawa mtu wa kupiga naye stori kila muda maana muda mwingi alikuwa yupo peke ake. So, nikawa nasikia kwa watu akiwaambia mimi ni gentleman na sifa kibao. Kipindi hicho nilikuwa nina mtu wangu so sikuwa namfikiria huyu mchina kama naweza kutoka naye. Mchina alinionyesha kila ishara kuwa amenipenda lakini mimi nilikuwa nimetekwa kwenye penzi la mbongo mwenzangu. So, muda ulipofika mchina akasepa zake uchinani. Aliporudi kwao alinitumia email ndefu kuelezea hisia zake juu yangu. Kwao mambo safi, sasa hivi namkumbuka.
 
Dunia sinia pakua unachoweza.

Kuna walizaliwa maskini wengine matajiri.....

Ila wote tunakimbizana na maisha.
 
Sijui kwa sababu ni hii balimi ndio inanifanya nashindwa kuelewa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom