Mkuu hiyo ni kampuni ya simu na hilo ni shirika la umeme ni kampuni tofauti acha kulialia mkuu service charges hizo mkuu!Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao
Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20
Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Hawana kosa ,service charges,aache kulalama!Tuwaulize TANESCO
Service charge ya mtandao husika?Hawana kosa ,service charges,aache kulalama!
Kama unafuatilia vizuri, mwanzoni kulikuwepo mkataba kati ya tanesco na mitandao (selcom) ya simu, baadae tanesco wakajitoa hivyo huduma iliyokuwa inatolewa bure na tanesco iliishia pale pale. Hivyo hizo gharama hazina uhusiano na tanesco bali mitandao inakata hizo gharama kulingana na huduma wanayoitoa.Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao
Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20
Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Hii ni tokea enzi za mwendazake.Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao
Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20
Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao
Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20
Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Tanesco na huo mtandao kampuni 2 tofauti angeenda kwa wakalaService charge ya mtandao husika?
Acha kelele kodi ndo zinakusanywa si mlichagua wenyeweYaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao
Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20
Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu