Ukinunua LUKU ya elfu 20 wanakata 400, huu ni wizi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
 
Mkuu hiyo ni kampuni ya simu na hilo ni shirika la umeme ni kampuni tofauti acha kulialia mkuu service charges hizo mkuu!
 
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Kama unafuatilia vizuri, mwanzoni kulikuwepo mkataba kati ya tanesco na mitandao (selcom) ya simu, baadae tanesco wakajitoa hivyo huduma iliyokuwa inatolewa bure na tanesco iliishia pale pale. Hivyo hizo gharama hazina uhusiano na tanesco bali mitandao inakata hizo gharama kulingana na huduma wanayoitoa.
 
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Hii ni tokea enzi za mwendazake.
 
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu

Nenda tanesco huwa hawakati kabisa
Ilitakiwa ujue gharama zinazotumika mpaka ww unaweza kununua luku kutoka kwenye simu yako tena ukiwa umelala kitandani
 
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Acha kelele kodi ndo zinakusanywa si mlichagua wenyewe
 
Back
Top Bottom