Ukinunua LUKU ya elfu 20 wanakata 400 huu ni wizi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,609
2,000
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
 
Oswald Daudi Mwakibete

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,152
2,000
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Mkuu hiyo ni kampuni ya simu na hilo ni shirika la umeme ni kampuni tofauti acha kulialia mkuu service charges hizo mkuu!
 
Kwisense

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
373
1,000
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Kama unafuatilia vizuri, mwanzoni kulikuwepo mkataba kati ya tanesco na mitandao (selcom) ya simu, baadae tanesco wakajitoa hivyo huduma iliyokuwa inatolewa bure na tanesco iliishia pale pale. Hivyo hizo gharama hazina uhusiano na tanesco bali mitandao inakata hizo gharama kulingana na huduma wanayoitoa.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,532
2,000
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu
Hii ni tokea enzi za mwendazake.
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
3,922
2,000
Yaani kinachoendelea sahivi ni wizi tu hata ukienda kununua kwenye mashine za Selcom ndo umekua mchezo wao

Ukinunua kwenye simu unakatwa 400 umeme wa elfu 20

Huu ni ujambazi kama ujambazi mwingine halafu mamlaka zipo tu

Nenda tanesco huwa hawakati kabisa
Ilitakiwa ujue gharama zinazotumika mpaka ww unaweza kununua luku kutoka kwenye simu yako tena ukiwa umelala kitandani
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,081
2,000
Yaani wewe unataka kununua LUKU bure kupitia systems za kampuni nyingine zinazokula umeme,internet,engineer nyuma ya server,servers,kodi ya pango,maintenance ya hizo servers,kodi ya TCRA,etc,etc

Halafu wewe upitishe ka 20,000/- bure kaende kukuletea LUKU kutoka tanesco mpaka kwenye simu yako hapo bure?

Matako yako yananuka kabisa,katawaze!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom