Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Feb 1, 2012 #22 Mwenye huyo mbwa hajamtendea haki anamweka hatarini, sidhani kama angeruhusu mtoto wake atoe kichwa namna hiyo! sifuri (0)
Mwenye huyo mbwa hajamtendea haki anamweka hatarini, sidhani kama angeruhusu mtoto wake atoe kichwa namna hiyo! sifuri (0)
Konya JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 921 Reaction score 118 Feb 1, 2012 #23 Hivi we jamaa hizi picha zako huwa unazipiga mda gani?ila we ni mtata.
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Feb 1, 2012 #24 Hawezi kuruka kafungwa mkanda!
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Feb 2, 2012 #25 mboga ya nyumbani kwetu, ukikapitia hapo ni pm nije na zana za kazi pamoja na ndimu kwa wingi
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Feb 2, 2012 #26 Mgalanjuka said: Figga uko juu, even bloggers wa Bongo wamebaki ku-copy picha za wenzao yani ukifungua blog zote za kibongo utadhani zinamilikiwa na mtu mmoja. Wanakosa utundu wa kukamata matukio simple kama haya. Mia aka 100. Click to expand... huwa nashindwa kutofautisha michuzi blog na global publishers
Mgalanjuka said: Figga uko juu, even bloggers wa Bongo wamebaki ku-copy picha za wenzao yani ukifungua blog zote za kibongo utadhani zinamilikiwa na mtu mmoja. Wanakosa utundu wa kukamata matukio simple kama haya. Mia aka 100. Click to expand... huwa nashindwa kutofautisha michuzi blog na global publishers
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 2, 2012 #27 duh mbwa mzuri ndo mana nahisi kamwachia hvyo ili kila mtu amuone mbwa wake na amemfunga kamba ili asiruke, ila mpiga picha nakupa pongezi.
duh mbwa mzuri ndo mana nahisi kamwachia hvyo ili kila mtu amuone mbwa wake na amemfunga kamba ili asiruke, ila mpiga picha nakupa pongezi.
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,697 Reaction score 59,202 Jun 28, 2012 Thread starter #28 MANI said: Wacha uchokozi mkuu ! Click to expand... Mkuu hiyo miwani yako inaona??. mia
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Jun 29, 2012 #29 figganigga said: Mkuu hiyo miwani yako inaona??. mia Click to expand... Bila wasiwasi ! mia
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,697 Reaction score 59,202 Jun 29, 2012 Thread starter #30 MANI said: Bila wasiwasi ! mia Click to expand... hahahahaaaaa...!!!!. mia
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 29, 2012 #31 sijaelewa kitu, :alien:
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,697 Reaction score 59,202 Aug 7, 2012 Thread starter #32 kamimbi said: wahehe hapo denda linawatoka kinoma, wanatamani kadondoke wakakapige kitoweo Click to expand... hahahahahaaaaaa.....!!!!!. mia
kamimbi said: wahehe hapo denda linawatoka kinoma, wanatamani kadondoke wakakapige kitoweo Click to expand... hahahahahaaaaaa.....!!!!!. mia