ukinirukia sikukwepi

ukinirukia sikukwepi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,677
Reaction score
59,175
MBWA.jpg

mia
 
Ki ukweli huwa nakukubali sana mkuu figga sjui kama una ka satellite kako binafsi?manake duh!kila pahali we upo. Big up man
 
Huyu jamaa kama sio dereva wa mabasi ya mikoani, atakua dereva wa daladala maana mapicha yake ni ya ukweli alaf hapahapa bongo. Big-up! mia
 
hawa mbwa wa kizungu wanaleta usharobaro bongo? ngoja jamaa aje na boda boda au mkokoteni uone atakavyo mpitia. anajifanya kuticha magari ya barabarani. ona alivyo tuna.
 
Figga uko juu, even bloggers wa Bongo wamebaki ku-copy picha za wenzao yani ukifungua blog zote za kibongo utadhani zinamilikiwa na mtu mmoja. Wanakosa utundu wa kukamata matukio simple kama haya. Mia aka 100.
 
dah,natamani mimi ningekywa huyo dog!mia

ni kweili ni bora utamani coz huo weusi ni balaa mzeeiya daaah mpaka nimeogopa yani nilivyo angalia na huyo mtoto uliekaa nae hapo yani ndo balaaa kabisaaaaa....>!
 
Back
Top Bottom