Kuna dogo mmoja mwanafunzi wa darasa la kwanza , sasa si unajua tena walimu wanapenda kufundisha kwa mifano halis ili watoto waelewe ,
Mwalimu. Ehee Musa mama kaweka mandazi matatu mezani akaupa mawili unywee chai yanabaki mandazi mangapi?
Musa. Mwalimu ukinipa na thupu halibaki hata moja nafuta yoteeeeeeeeee.