Ukinipa mimba utapata tabu sana

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Utapata tabu sana
IMG-20180704-WA0010.jpg
 
Waambie Wasijali Kabisa Maana Aliyegundua Kondomu Hakuwa Mjinga
 
Huu ndio ujinga wa kukemea!...baada ya kutoa elimu kwa watoto juu ya afya ya uzazi na makuzi yao, tunaleta upuuzi wa mtoto kuogopa mimba!

Je shababi likimwambia navaa kondom sittakupa mimba mtoto huyo anaweza kataa?
Haki ya nani nilikuwa natafuta wife wa kuoa, bibie umeolewa? Maana umeonyesha uelewa na umakini katika malezi ya mtoto,
 
Upuuzi nikupigia chapuo suala la adhabu kwa kumpa mimba mwanafunzi.

Wakati huohuo unaruhusu ngono kwa mwanafunzi iendelee.

Sasa basi, watu tumieni kondom, wanyweshen majivu. Tumien dawa za kuua mbegu , alafu kulen mbunye
 
Huu ndio ujinga wa kukemea!...baada ya kutoa elimu kwa watoto juu ya afya ya uzazi na makuzi yao, tunaleta upuuzi wa mtoto kuogopa mimba!

Je shababi likimwambia navaa kondom sittakupa mimba mtoto huyo anaweza kataa?
Kwahakika, tuko katika nchi ambayo ,WATU WANAOFIKIRIA KWA JICHO LATATU WAMEBAKI WAKUTAFUTWA KWA TOCHI..SIO VIONGOZI SIO WANANCHI ...
 
Back
Top Bottom