Mkuu ukiwaza utaachana na wangapi tutakuzika soonUmeacha na kuachwa na wangapi?
Yaan sijaelewa mpaka kesho kwanini Mungu aliwafanyia hivyo wanawakeUnataka kushindana mwanaume. Kipindi cha mwanamke kushine hakizidi miaka10 unakuwa ushachuja. Mwanaume ni forever young
Mchiti basiNdo habari yake
Naomba niku-cheatWakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Updates
Wakati napost huu ujinga wangu wala sikuwa na hard feelings ila maoni ya waja hasa ya wanaume yamenifanya niwe serious kidogo. Yani kwa kifupi wanaume hawapendi kuchapiwa kabisaaaaaa...yani wanapenda wao watende ila wasitendewe.
Ina maana umeniacha au umenitenda je nibaki single milele kisa K itachakaa??
Unanitesa bado nivumilie mateso kwakuwa tu eti nitaonekana malaya?? Kama moyoni mwangu najua sifanyi umalaya wala sijali. Ukiniacha na mimi nakuacha.... ukinichiti na mimi nitatafuta wa kunipoza tena nahamia kimapenzi huko kabisa.
Kwa hiyo furaha mmeumbiwa wanaume zaidi ila wanawake wameumbiwa mateso?
Asee wembe ule ule ulionyolea mwenzio ndo utakaokunyoa.
Naka #kichwayamaster
Kwani lazima utembezewe moto kwa kuchanganya wanaume?Yaan sijaelewa mpaka kesho kwanini Mungu aliwafanyia hivyo wanawake
Muweke mwanaume anaetembeza mashine miaka 15 hakuna kilichochoka wala habadiriki mcheki yule jamaa anaitwa Calisa sijui atakueleza
Muweke mwanamke anaetembezewa mashine baada ya miaka 15 kachoka vibaya mno utadhani alifanyiwa upasuaji wa shepu miaka 15 (Vera Sidika) kabla kumbe mwanamke kadri anavyogongwagongwa ndio anavyozidi kukongoroka
Sasa hiyo inasaidia nini kwenye ndoa?Ukichiti utachitiwa tuu
Siku hizi wanawake hawalii ndani wanakuacha upuyange weeee na wao wanatafuta mtu mahali mmoja tu anamtuliza maisha yanaenda.
Oohooo...kumbe?Basi tupambe ili tusherehekee!😂😂😂😂Usichukulie kila kitu serious mkuu
Huo ni wimbo wa mtu
Si wanawake hua mnaturoga sasa ulitegemea nini wakati kila mwanamke anakulisha limbwata la waganga tofauti km sio dishi kupoteza kumbukumbu? Mnaroga sana ili mpendwe peke yenu jambo ambalo halipo... Ulisikia wapi mwanaume analisha mwanamke limbwata ili ampende yeye tu?Kwani lazima utembezewe moto kwa kuchanganya wanaume?
Asee nyie jidanganyeni tu....sex ya kupindukia inakuja kuchosha akili ya mwanaume akiwa mtu mzima (yani fishing linayumba) ila mwanamke atachoka mwili tu. Nina mfano wa Mzee aliyekuwa kicheche ujanani sasa hivi akili zisharuka ila mke walaaaaa kumbukumbu kama zote na bado kabisaaa. Mzee ni 90 mke 84.
We bao moja naskia ni kama umekimbia maili za kutosha....
Asee nyie jidanganyeni tu....sex ya kupindukia inakuja kuchosha akili ya mwanaume akiwa mtu mzima
Nina mfano wa Mzee aliyekuwa kicheche ujanani sasa hivi akili zisharuka ila mke walaaaaa kumbukumbu kama zote na bado kabisaaa. Mzee ni 90 mke 84.
We bao moja naskia ni kama umekimbia maili za kutosha....
Usipingane na nature
Diesel Electric Multiple Unit(DEMU).
Nini maana ya neno DEMU kwa Kiswahili na je neno hili linatumika kwa usahihi?Mkuu huwa sipendi kubishana kwa kutumia mihemko bali kwa hoja tu