Ukiniambia jambo lolote nitakubali...

Ukiniambia jambo lolote nitakubali...

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
438
Reaction score
67
Dereva mmoja wa lori alikuwa baa anapata kinywaji, mara akatokea binti mmoja mzuri sana, binti huyo akaketi katika kiti katika meza aliyokaa jamaa na kumwambia jamaa "Nimekupenda sana kaka, ukiniambia jambo lolote nitakubali" mara moja jamaa akamwambia, "Nenda ukalioshe lori langu lote hapo nje ili nikimaliza tu bia ya tatu nataka niondoke" Binti akakubali!
 
Sasa kama alikubali tatizo liko wapi. Wewe unachowaza ni ngono tu! Yule binti anatafuta mkate wake wa kila siku kwa namna itakayowezekana. Haya tueleze alimlipa au hakumlipa?
 
Tehe tehe teheteheeehe!!! Aliondoka nae??
 
Angewaaambia hivyo wale wanaoandamana vaseline ikipanda bei ingekuwa sooo.....
 
dah!! hiki nacho ni kichekesho?
Dereva mmoja wa lori alikuwa baa anapata kinywaji, mara akatokea binti mmoja mzuri sana, binti huyo akaketi katika kiti katika meza aliyokaa jamaa na kumwambia jamaa "Nimekupenda sana kaka, ukiniambia jambo lolote nitakubali" mara moja jamaa akamwambia, "Nenda ukalioshe lori langu lote hapo nje ili nikimaliza tu bia ya tatu nataka niondoke" Binti akakubali!
 
Alimlipa baada ya kuliosha na wakaachana. Hmaster mbona wewe umeelekeza kwenye mawazo ya ngono? Wakati mwingine Mambo huwa tofauti na watu wanavyowaza.
 
Back
Top Bottom