Ukimzalisha mpangaji wako,je.......?

Uthibitisho ni watoto ambao wanatumia majina ya marehemu,Ila enzi za uhai wa wake marehemu na mchepuko wake walikubaliana iwe siri Sana kwa ajili ya kunusuru ndoa yake,na baadhi ya ndugu wa mwanamke walikuwa wanamtambua huyo baba watoto
Inategemea kama busara ikitumika wanaweza kutambuliwa,ila sababu ya upande wa ndugu wa mwanamke kumtambua marehemu kama baba wa hao watoto bado haitoshi,labda kama na ndugu wa mwanaume pia walilitambua hill tangu mapema watawatetea watoto ili wapate stahiki zao ikiwa ni pamoja na makazi,
 
Watoto wa marehemu wana haki ya urithi wa mali za baba yao iwe walikuwa kwenye ndoa au lah (tazama sheria ya mirathi inavyosema). Mnaweza kuwafukuza kwenye nyumba ila ikithibitishwa alizaa na marehemu watoto wake aliozaa nao wana haki ya mali ya baba yao katika mirathi
 
Je haki ni kwa watoto tu,mama yao hana haki?
 
Yule mtoto wa kwanza alipopatikana tu tayari alikuwa mama mwenye nyumba labda huyo mwanamke awe mwendawazimu.
 
Umezalishwa au umezalisha


Tuanzie apo
 
Je haki ni kwa watoto tu,mama yao hana haki?
Mama yao atakuwa na haki kama ikithibitika aliolewa kisheria na kwa mujibu wa sheria (ili kuondoa mchanganyiko) mtu ukiishi nae kinyumba yaani ili mnalala mnaamka mnapika na kupakua kwa miezi sita basi huyo kisheria ni mkeo na ana haki juu ya mali zako
 
Kama hakuwahi kupika wala kupakua zaidi ya kuzaa watoto kwa kificho,je?
 
Hee kumbe!!!
Ndio!! kwani akiwaambia watu au ustawi wa jamii kuwa umemuoa na uliahidi kumkabidhi nyumba endapo akikuzalia na ushahidi wa watoto ukawepo na akadhibitisha kuwa ummembadirikia baada ya kumharibia maisha pia unataka kumfukuza akiwa na watoto wako ambao haelewi ataenda kuishi nao wapi. utajitetea vipi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…