Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Kwanza futa kauli ya ''Kumzalisha'' Kumbuka mwanamke si ng'ombe!Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho, mzalishwaji atakuwa na haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwakuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
Uthibitisho ni watoto ambao wanatumia majina ya marehemu,Ila enzi za uhai wa wake marehemu na mchepuko wake walikubaliana iwe siri Sana kwa ajili ya kunusuru ndoa yake,na baadhi ya ndugu wa mwanamke walikuwa wanamtambua huyo baba watotoLazima alipe kodi,maana hakuna atakaye thibitisha hayo
Nimeshafuta,lakini kuzaa nje ya utaratibu hakutofautiani Sana na mnyama uliyemtajaKwanza futa kauli ya ''Kumzalisha'' Kumbuka mwanamke si ng'ombe!
Huyo sio mpangaji tena. Maza house huyo. Kodi za wapangaji wengine ana haki ya kuzipangia matumiziUmemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho, mzalishwaji atakuwa na haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwakuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho, mzalishwaji atakuwa na haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwakuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
Hapana,ni MkingaWewe ni mkunga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenye nyumba wanyooshe vidole kwanza
Atakuwa na nguvu kisheria endapo mke halali wa marehemu na watoto wataamua kumtimua?Huyo sio mpangaji tena. Maza house huyo. Kodi za wapangaji wengine ana haki ya kuzipangia matumizi
Mtoto atathibisha maana atakuwa kafanana na marehemuLazima alipe kodi,maana hakuna atakaye thibitisha hayo
Atakuwa na nguvu kisheria endapo mke halali wa marehemu na watoto wataamua kumtimua?Tayari ameshakuwa sehemu ya familia ya mwenye nyumba.
Basi huyo mwanamke atakuwa fal* kukubali kuzalishwa watoto wawili alfu hana uhakika wa maisha ya watoto na huyo m'umeUthibitisho ni watoto ambao wanatumia majina ya marehemu,Ila enzi za uhai wa wake marehemu na mchepuko wake walikubaliana iwe siri Sana kwa ajili ya kunusuru ndoa yake,na baadhi ya ndugu wa mwanamke walikuwa wanamtambua huyo baba watoto
Na Kama familia ya mwanaume ilikuwa haijui je?Endapo familia ilitambua ataendelea kuishi kama ilivyokua kabla ya mzazi mwenzie kufariki
Hana mkuuMkuu naona ushaharibu tayari, kwanza mkeo anataarifa hizi???