Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,122 Reaction score 137,245 Aug 3, 2026 #21 Kama haya ndiyo maridhiano wanayo yataka ccm, bora waahirishe tu.
mlevi sugu JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,981 Reaction score 3,875 Aug 3, 2026 #22 inasikitisha sana
Mributz JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 297 Reaction score 658 Aug 3, 2026 #23 Ni mkeo kwel? 😜
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,555 Reaction score 15,003 Aug 3, 2026 #24 mwehu ndama said: Sifa ya kwanza ya kijana masikini ni nguvu nyingi za kiume.. Click to expand... Nguvu zenyewe anazo basi? Mwenye nguvu ni simba mwenda kimya!
mwehu ndama said: Sifa ya kwanza ya kijana masikini ni nguvu nyingi za kiume.. Click to expand... Nguvu zenyewe anazo basi? Mwenye nguvu ni simba mwenda kimya!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,562 Reaction score 133,115 Aug 3, 2026 #25 Kamsemee kwa babaake
MKAKA HALISI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 715 Reaction score 1,423 Aug 4, 2026 #26 Kwa mwendo huu tunaweza kulilia katiba na ikaandikwa mbaya zaidi ya hii iliopo maana nguvu kazi yenyewe tunayo itegemea ndio hii hasara kwa Taifa
Kwa mwendo huu tunaweza kulilia katiba na ikaandikwa mbaya zaidi ya hii iliopo maana nguvu kazi yenyewe tunayo itegemea ndio hii hasara kwa Taifa