Ukimya wa rais unatia shaka


Mipunguani kama wewe nchi hii sijui mtakwisha lini au sijui ndo defensive mechanism ya roho mbaya
 
kiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious
Mitoto ilopatikana kwa uzinzi utaijua tu, adabu zero! Nahic ni ugumu wa maisha unaokukabili ndo unaokuchanganya hata usijue kuwa what you are doing is wrong
 

Anauguza mshono. Na madaktari wamemshauli apumzike kwa muda wa miezi 3
 
... Hata akidumu kwenye kimya hicho milele ... Mtamfanya nini

.... kwani hayatapita kama mengine .. ?
 
Hoja ya msingi, umesoma magazeti ya leo kuhusu tamko la ikulu?

Jamaa haulizi tamko la Ikulu. Anataka tamko la raisi. Raisi wa nchi anayo mamlaka ya kuita press conference na akalizungumzia hili jambo ambalo limetia aibu serikali yake. Hili si jambo la kuzungumzwa na mtu mwingine zaidi ya yeye mwenyewe. Hili litasaidia hata kuondoa shaka kwa wale ambao wanadhani yeye ni part of the deal. Kukaa kimya ni justification kuwa anahusika. Hapa wisdom is needed more than political muscles.
 

sefue ndo Rais
 
uzuri wa jk yakuambiwa lazima achanganye na zake hakurupuki hata kidogo acha afanye kazi yake kwa umakini kama anavyofanya siku zote.

kwa hiyo JK hautambui uchunguzi wa CIG,TAKUKURU, na TRA. JE unataka kusema JK haliamini bunge? JE unataka kusema JK haiamini kamati ya maridhiano iliyokuwa na mawaziri wake wa CCM??

basi huyu ni RAIS wa ajabu kutokea duniani,
 

hawezi kutumia ushauri wa mitandao kama rais
 
Kwanza nichukue nafasi kukushukuru kuleta hii mada,kwani ni leo hii nimeona kwenye citizen TV rais Kenyata na Ruto wakiongea na wananchi juu ya mauaji ya watu 36,ndipo nikajiuliza sisi rais wetu ana nini hasa mbona hana utamaduni wa kutoa mwelekeo na masuluhisho kwenye mambo muhimu yanayoliguasa taifa,kwa kweli mh tunasikitika sana tumekuwa kama kondoo wasio na Mchungaji!
 

JK ni hatari kwa maendeleo ya binadamu yeyote
 

Mkuu, kama ulifanikiwa kumsikiliza siku alipotua Bongo pale uwanja wa ndege alielezea tatizo lake la kiafya alilokuwa akitibiwa US. Mwishoni alisema "Hayo yanayoendelea Dodoma siyazungumzii, kwanza hata siyajui. Nitazungumza nitakapoyajua kama kutakuwa na la kuzungumza".

Naomba tumpe muda, apumzike, baadaye akae na washauri wake atakapoyajua atazungumza. Kwa hiyo mkiona yuko kimya mjue hajayajua bado. Haraka haraka haina baraka.
 
1.hamumuelewi wewe na nni? Usitusemee, wengine tunamuelewa, au wewe ni msemaji wa watz? Kama ndio, tangu lini?
2. Acha kihere here, soma magazeti ya leo kama shida yako ni tamko la ikulu
3.rais hafanyi mambo kwa kukurupuka

Povu la nini mkuu....jibu kwa hoja masuala ya msemaji wa wananch yanatoka wap....acheni kutumika vibaya...ona sasa mpk mnajitoa akili....SHAME ON YOU......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…