Ukimya wa rais unatia shaka

yaani anaona ni fahari kuzungumzia scrotums zake kuliko mambo ya kitaifa

Kama unapenda mambo ya kitaifa, automatically ungemheshimu na Rais , usingebeza masuala ya ugonjwa wake!
 
Kama unapenda mambo ya kitaifa, automatically ungemheshimu na Rais , usingebeza masuala ya ugonjwa wake!

kiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious
 
Cybercrime kumbe wewe ni Baba 0 unaona nani kakurupuka ile mijadala ya Bungeni ndiyo uhalisia wa hili jambo
wewe unafikiri Raisi anaweza kuongea lolote haraka hivyo wakati yeye mwenyewe kala?

Kwanza elewa kwa nini Pinda alikaa kimya anajua hili swala zima Raisi Kachota naye hivyo hana uwezo wa kumwajibisha
yeyote yule kati ya hao Mawaziri waliotajwa ataendelea kujifanya siyo swala la msingi na kujifanya yuko busy na mengine

angalia post zako za kujipendekeza.
 
IKULU:TUPO TAYARI
SIKU chache baada ya Bunge kuhitimisha mjadala wa uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kupitisha maazimio nane ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha watendaji na wanasiasa waliohusika, Ikulu imesema itayafanyia kazi maazimio hayo kwa uzito mkubwa.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipozungumza na MTANZANIA juu ya hatua iliyofikiwa katika kutekeleza maazimio yaliyofikiwa na Bunge.
Balozi Sefue alisema hadi sasa ofisi yake ilikuwa haijayapokea maazimio hayo rasmi.



Source:kama uonavyo,gazeti la mtanzania Dec.2
 
kama akili zako ziko likizo huwezi kumwelewa hata kidogo jk ni mwanasiasa mwenye upeo wa hali ya juu hawezi kuamua mambo kwa kufuata upepo mpaka athibitishe pasipo shaka kuwa waliotuhumiwa wanahusika lakini siyo chuki kama za kundi la zitto na mchaga wake mengi kwa muhongo.
 
kiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious

uzuri wa jk yakuambiwa lazima achanganye na zake hakurupuki hata kidogo acha afanye kazi yake kwa umakini kama anavyofanya siku zote.
 
Mimi hapa ndipo naipendea serikali yetu hasa awamu hii ya nne.
Yaani wazee na madevu yao wakiambatana na wanawake na maziwa yao wanatumia zaidi ya 2b kwenda kupiga magoti kuomba 16bilioni huku serikali hiyo hiyo ikisimamia ukwapuliwaji wa billion zaidi ya 300!!!!!!!
Na kiasi hiki ni kati skendo moja tu kwa, hapa ngoja tuone hizo zingine alizosema Zitto, akiibuka na Dr. Slaa na wengine si ajabu ukakuta zinafikia US $10 Billion!
 
Ameshasema ni Upepo tuu utapita, huyu ameshawasoma Watz na kuwajua walivo vyovyote anaweza akafanya anavotaka
 
Wewe ukituma wanao wakaibe, wakakamatwa, ukaletewa uwahukumu, utawapa adhabu gani? Mwacheni rais Apumzike
 

uamuzi aliochukua wa haraka ni kumwachisha CAG kazi. Hii inatoa picha kwamba hajapendezwa na taarifa na utendaji wake, hii inauma sana kaz yake kujichekesha tu kama ma---a jaman tuwe makini 2015 watu kama kina pinda, membe sio wa kupewa nchi kabisa
 
Wewe unapiga mayowe tu, Bunge lina mamlaka ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais, angekuwa anahusika hakuna aliyekuwa anawazuia.

Bunge lipi....ili la kura za ndioooooo, mpaka lisurutishwe na migomo ya wabunge wachache wa upinzani ktk mambo yote muhimu? Una habari hata ili la escrow kama si makelele ya UKAWA wabunge wengi wa ccm walikuwa mbummbu.
 
yaani anaona ni fahari kuzungumzia scrotums zake kuliko mambo ya kitaifa
Chikaka Muhongo ameshatahadharisha kuwa akiguswa nchi itatetemeka unajua maana yake ATAMTAJA RAIS na mgao aliobeba subiri!!
 
Hivi neno upeo lina maana nyingine eti!!? Upeo wa kukimbia kujificha nje kuficha aibu ya wizi alioshiriki? Eti anarudi na kuzungumzia afya ya P$%%bu zake!! jamani huo ndio upeo. Kumbe aliagiza mahela yachotwe!! kweli upeo!! you can not be serious!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…