Duuh! , itakuwa sio ukawa tena itabidi tuiite PM's CLUB.Wanajamvi,
Namuulizia waziri mkuu wangu MZEE Pinda,yu wapi? au yu katika maandalizi ya shamba?
Kama mfumo wa CCM umemkwaza aje ajiunge na mawaziri wakuu wenzie tubomoe CCM.
Wanajamvi,

Mzee Pinda si kama mnavyofikiri unaujua mfumo anaujua Ukawa anaijua Tanzania Isitoshe anaijua IKULU muda mrefu kafanya kazi Ikulu hakuna BIASHARA ye yote pale ni WAZIRI WETU MKUU na atapostaafu atakuwa kama Mzee Msuya naSalim Ahmed Salim Nchi Yetu Inataka hekima zao na Siyo hizo za hao Mbayuwayu
Pinda ni mtu makini sana, pamoja na propaganda za kumchafua lakini mzee wa watu yuko kimya.watu kama hawa ni wachache sana hana makuu Mzee wa watu Kwake madaraka sio kila kitu ndio maana hakuona taabu kujiita mtoto wa mkulima, hana mali aliyoiba kokote hajajimilikishia kitu chochote mwacheni mtumishi wa Mungu ajipumzikie zake.Wanajamvi,
Namuulizia waziri mkuu wangu MZEE Pinda,yu wapi? au yu katika maandalizi ya shamba?
Kama mfumo wa CCM umemkwaza aje ajiunge na mawaziri wakuu wenzie tubomoe CCM.
wewe ujawai kukatwa nini? ni uchungu sana