Bavicha acheni kuhangaika.
Wanajamvi,
Namuulizia waziri mkuu wangu MZEE Pinda,yu wapi? au yu katika maandalizi ya shamba?
Kama mfumo wa CCM umemkwaza aje ajiunge na mawaziri wakuu wenzie tubomoe CCM.
Hao makapi wa CCM wote wakija kuhamia kwenu utaibomoa CCM ipi tena wakati huko kwenu ndiyo kutageuka CCM in everything but name only?
Jenga chama chako kwa kutumia watu uliokaa nao kwa muda, acha kumezea mate mamluki kama fisi anayemezea mate mkono unaotikisika akifikiri utadondoka.
Haya maneno ni kama ya Warioba, hii kauli ni kauli kama ya Warioba.
Lini utaandika Op-ed ingine?
teh teh teh
mtasubiri sana. pinda haji wala hafikirii kuja huko.
mtu gani na heshima na maadili yake atataka kuja huko yamkute ya chacha wangwe? au aitwe msaliti kama zito akikosana na hao jamaa wenye chama?
Wanajamvi,
Namuulizia waziri mkuu wangu MZEE Pinda,yu wapi? au yu katika maandalizi ya shamba?
Kama mfumo wa CCM umemkwaza aje ajiunge na mawaziri wakuu wenzie tubomoe CCM.
yani aswaa huyu mzee shida kwa cckUnajua Kikwete aliwadhalilisha sana alipomuweka January Makamba kuwa anafaa kuliko waziri mkuu na makamu wa rais, basi ndio hivyo wamezira. Mtoto wa mkulima baada ya ule mchujo wa Dom alienda kujificha katavi ndio maana hata uzinduzi wa jangwani hakuwepo.