Ukimya wa Mizengo Pinda unaashiria nini?

Ukimya wa Mizengo Pinda unaashiria nini?

sometimes unaongea mambo ya maana sana.
Hao makapi wa CCM wote wakija kuhamia kwenu utaibomoa CCM ipi tena wakati huko kwenu ndiyo kutageuka CCM in everything but name only?

Jenga chama chako kwa kutumia watu uliokaa nao kwa muda, acha kumezea mate mamluki kama fisi anayemezea mate mkono unaotikisika akifikiri utadondoka.
 
Nimekubaliana na ukimya wake! Nae alikuwa kwenye kinyang'anyiro baada ya kukatwa katulia angalia safari ya matumizi ya lowassa ilivyo ishia kwenye tigo pesa airtel money na mpesa na matatizo kibao

Kaisusa ccm na muda ukifika utamsikia yupo cdm
 
yupo kwake anawaza hapati usingizi...maana aliowaambia wapigwe tu hamna namna wanaelekea kuwa viongozi wake...anahisi sasa ni wakat wake na yeye kupigwa.
pili anawaza sana maana ukawa wakipita ile katiba ya waryoba ambayo wananchi ndo mabosi wa watawala itarejeshwa.....
patam hapo
 
Mtu yeyote anaehamia upande wa pili nikama amejisalimisha nasio kama ccm wote wameoza wapo majembe na ndo maana kikwete kashindwa kuvunja baraza la mawaziri anajua jamaa watahamia ukawa
 
Haya maneno ni kama ya Warioba, hii kauli ni kauli kama ya Warioba.
Lini utaandika Op-ed ingine?

Ulipo hupo, hupo tulipo!

Mkuu tafadhali nipe link to op-ed zilizoandikwa na Kiranga. Natanguliza shukrani!
 
Alikuwapo kwenye kampeni za ccm rukwa, yeye sio KAPI hivyo ndoto zako SAHAU, endelea kulala ili ndoto zako zitimie.
 
Pindi amekubali ccm imepinda ameamua kuwa na EL kimya kimya
 
Duh we G'son umenikumbusha mbaali kweli hapo Stalike pana kambale wa kumwaga ndo njia panda ya kwenda Mpimbwe
 
Mzee wetu Waziri Mkuu Mh.Pinda yupo akiendelea na kazi zake akiwa Waziri Mkuu kuendelea kuratibu shughuli na kazi zote za Serikali mpaka hapo Serikali Ijayo atapoapishwa Mungu amuongoze ktk hekima zake na Busara alizonazo si mtu wa kuyumba kama Bavicha mnavyodhani yakuwa Mawaziri wakuu wawili kujiunga na Ukawa mkadhani viongozi wote wako sawa hilo litoweni katika vichwa vyenu.Mh.Pinda siyo mpenda makuu ni mcha Mungu anashukuru kwake Muumba kwa kila anachomjalia
 
Yupo kimya sabbu amechoka mno..mana hakuna namna nyingine sasa..
 
Wanajamvi,

Namuulizia waziri mkuu wangu MZEE Pinda,yu wapi? au yu katika maandalizi ya shamba?

Kama mfumo wa CCM umemkwaza aje ajiunge na mawaziri wakuu wenzie tubomoe CCM.


Haya ndio majibu ya lile chozi lake lililomtoka baada ya kurubuniwa na kudhalilishwa na mkuu wake wa kazi kwamba hana maadili kabisa ya hata kuhisi kuwa rais wa nchi hii. kwani wewe umeshamuaona Ghalib Bilali kwenye kampeni yeyote ya CCM?
 
Hivi waziri wetu anagombea tena jimboni kwako? Sasa atarudi vip bungen? Tho chadema ndo tutakuwa ikulu tunamtaka arudi bungeni.

Atakua mbunge wa kawaida maana ccm watakuwa wachache sana. Ni vizuri awepo ashuhudie tanzania mpyaaaaa

na ni luksa kujinga na mawazili wenzake akaribie nyumbani kwa malaika ccm watamzeesha mapema kumbuka walimzalilisha kumkata eti sio mtendaji mziri. Too sad hata top 5 hakuonekana? Ccm mna laana
 
Pinda atakuwa kwny shamba lake la asali asijilaumu tatizo c yeye tatizo nyota.
 
Back
Top Bottom