Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

furahi, ni haki yako,kama ufukara ulivyokukumbatia!
 
Jamii ya wafugaji

Lini nikumbushe ww, jamii ya wafugaji waliwahi kuandaa mkutano wa hadhara?
Au mfugaji gani aliewahi kufanya mkutano wa hadhara.?
Mm nina umri wa nusu karne ktk ardhi hii ya tz sijawahi kuona mfugaji au wafugaji wakifanya mikutano ya hadhara kama ya kisiasa.
 
Mtu kama wewe njia pekee ni kukupotezea maana hujitambui, unaona kuwa na umri nusu karne ndio unafahamu kila jambo? Utafikisha hata karne moja pasipo kujua mambo yote. Kama wewe sio jamii ya wafugaji huwezi kutambua kama hiyo mikutano inafanyika au la.
 

Bora unipotezee maana hunajibu.
Ndugu sio lazima niwe mfugaji ndio nijue ya wafugaji.
Dunia yaleo nindogo kama kijiji kidogo.
Zaidi nimekuomba unikumbushe lini wafugaji watz walifanya mikutano ya hadhara?
 
Unaumia peke yako usichanganye wenzio,kama hulali ni wewe maisha yangu yanasonga with or without Lowassa....

Wanao hangaika humu kuona haki inatendeka usifikirie hawana maisha au maisha yao hayasongi .....acha ubinafsi mfikirie na mzazi anaye jifungulia chini huku tezi dume zikitibiwa nje
 
Magufuli hapigi kazi! Lets be honest kwenye hili! Magufuli bado yupo kwenye campaign! Anagusa sehemu zilizoandaliwa makusudi ili kuwahadaa wadanganyika! Mfano muhimbili. Kaenda mchana, jioni hazina wakatoa check, two days mashine
Imaenza kufanya kazi. Hiyo ni political game and it was crafted very careful ili kumjengea uhalali wa uraisi wake wenye mashaka! There are more to come then BAU
 
Aseme nini sasa,wakat kawezwa kila mahala!alitaka kuita mkutano akakatazwa,ukimya upi unausema!sema unawaumiza ukawa na sio ccm
 
anawaza yeye na mwenzake Sumaye namna ya kumzuia Magufuli kunyang'anya mali zao
 

umehaidiwa kufanya usafi choon mpaka uandike maneno haya? Hivi hamuwezi kuishi bila kuimba lowasa???
 
Kukaa kimya ni Hekima kutoka kwa Mungu tujifunze kutoka kwake
 
Huyu jamaa mada zako za ajabu ajabu tu. Kama umeumizwa sana na kukatwa kwa Lowassa mara ya pili, nenda kamsaidie kuchunga ng'ombe kuliko kujifariji kwa mambo yasiyowezekana
 

taratibu iman na lowassa inaanza kuyeyukaaa
 
taratibu iman na lowassa inaanza kuyeyukaaa

Shost hakuna mtu niliyewekeza akili yangu kama Lowassa. Ndugu na marafiki wameniblock Facebook sababu ya huyu mtu!! Nimekuja kugundua ni mtu asiye na maamuzi kwa wakati muafaka. Maalimu Seif angekuwa kama Lowassa hivi sasa CCM Zanzibar wangekuwa wanashangilia ushindi wa wizi. Kikwete alimfahamu madhaifu yake ndiyo sababu siku anafunga kampeni Mwanza akamchana live kuwa alihusika na Richmond na ndiyo chanzo cha kumkata Dodoma. Magari ya kura yamekamatwa hadi kwenye mitandao jamaa yuko kimya tu!! Matokeo yakaazwa kutangazwa jamaa kimya tu!! Angalia Seifu alipopata hesabu zake za kura akaitisha vyombo vya habari vya nje na akatangaza matokeo yake yeye alishindwa nini!? Tamuunga mkono Magufuri kwani ameanza kwa kunigusa sana.
 

ila afya yake ni tatizo pia, hawezi himili vishindo vya vuruguu mkuu!!!

Ngoja tufanye mipango ya kusaka spika wa bunge, nafikiri hiyo itakuwa zawadi nono atakayo tuachiaa
 
ila afya yake ni tatizo pia, hawezi himili vishindo vya vuruguu mkuu!!!

Ngoja tufanye mipango ya kusaka spika wa bunge, nafikiri hiyo itakuwa zawadi nono atakayo tuachiaa

Unawaza uspika UKAWA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…