Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

Kwa wana CCM wameshayazoea haya,cos yalitokea 1995 kwa Mrema yakaisha,yakaja kutokea 2005 kwa Lipumba Pia yakaisha,n? sasa kwa Mamvi nayo yatakwisha,kama kuku vile keshachinjwa sasa anapaparika tu,n? wanajipanga 2025 n? sio 2020 najua itakuwa ni mteremko kwa kwenda mbele,hatutishiki n? Ukimya wakeeeee.
 
Wanao hangaika humu kuona haki inatendeka usifikirie hawana maisha au maisha yao hayasongi .....acha ubinafsi mfikirie na mzazi anaye jifungulia chini huku tezi dume zikitibiwa nje
Tezi Dume imekukaa na Roho naona,ebu tuangalie awamu hii Inshallah iwe yenye kheir..
 
Wadau tukubali tu kwamba katika Mambo mageni tuliyoona kwenye wakati huu ni nguvu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.

Nimejaribu kupitia mabandiko mengi hapa JF na ninaona mengi ni malalamiko au matokeo ya wasiwasi wa ukimya wa Lowasa.

Magufuli ameanza kwa kasi ya ajabu bila kujali uelekeo ili kujaribu kuzima makali ya sauti ya ukimya wa Lowassa.Anatamaani sana Lowasa asahaulike mapema ili apate nafasi ya kujenga jina lake na labda umaarufu wake mwenyewe.
Kwa bahati mbaya kila anachofanya kinaongeza kumbukumbu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.

Wamejitokeza wana CCM humu wanaomshambulia Mbowe,wanamshambulia Mbatia,wanakishambulia CHADEMA na vyama vya ukawa,wanachokoa kwa kijiti wapate majibu.Watu kama Juliana Shonza na Faiza walioumizwa na Ukimya wa Lowasa.

Ni dhahiri sasa taifa limetega sikio,liko makini kiasi kwamba hata sindano ikianguka linasikia,lina kiu na sauti ya mtu mmoja tu, Linateseka kwa ukimya wake,linataka kumsikia Ndugu Edward Ngoyae Lowasa.

Mihemko ya kisiasa inayoongelewa na vyombo vya usalama ni mawimbi tu ya Ukubwa wa sauti ya ukimya, intelijensia inaumizwa na ukimya.Naanza kuipenda falsafa hii ya ukimya.

Ila kama mdau tu wa UKAWA na mwanachama wa kawaida kwenye chama changu nitumie fursa hii kumuomba Ndugu Edward Ngoyae Lowassa aongee kitu, Taifa linaumia.

kumwelewesha komamanga ni kazi sana .....yuda yupo kwao anachunga ng'ombe sasa unataka tena aseme nn sasa.....ukimya wa yuda maana yake yuko bize na mifugo wake...kufuga mifungo co mchezo bhna.
 
Tezi Dume imekukaa na Roho naona,ebu tuangalie awamu hii Inshallah iwe yenye kheir..

Tezi dume ni mfano tu kuna Mengi mfano BOIENG ambayo ni mbovu haifanyi kazi ila hela za kukodi zinalipwa kila mwezi ,
Inshalah Mungu awatie nguvu
 
Wadau tukubali tu kwamba katika Mambo mageni tuliyoona kwenye wakati huu ni nguvu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.

Nimejaribu kupitia mabandiko mengi hapa JF na ninaona mengi ni malalamiko au matokeo ya wasiwasi wa ukimya wa Lowasa.

Magufuli ameanza kwa kasi ya ajabu bila kujali uelekeo ili kujaribu kuzima makali ya sauti ya ukimya wa Lowassa.Anatamaani sana Lowasa asahaulike mapema ili apate nafasi ya kujenga jina lake na labda umaarufu wake mwenyewe.
Kwa bahati mbaya kila anachofanya kinaongeza kumbukumbu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.

Wamejitokeza wana CCM humu wanaomshambulia Mbowe,wanamshambulia Mbatia,wanakishambulia CHADEMA na vyama vya ukawa,wanachokoa kwa kijiti wapate majibu.Watu kama Juliana Shonza na Faiza walioumizwa na Ukimya wa Lowasa.

Ni dhahiri sasa taifa limetega sikio,liko makini kiasi kwamba hata sindano ikianguka linasikia,lina kiu na sauti ya mtu mmoja tu, Linateseka kwa ukimya wake,linataka kumsikia Ndugu Edward Ngoyae Lowasa.

Mihemko ya kisiasa inayoongelewa na vyombo vya usalama ni mawimbi tu ya Ukubwa wa sauti ya ukimya, intelijensia inaumizwa na ukimya.Naanza kuipenda falsafa hii ya ukimya.

Ila kama mdau tu wa UKAWA na mwanachama wa kawaida kwenye chama changu nitumie fursa hii kumuomba Ndugu Edward Ngoyae Lowassa aongee kitu, Taifa linaumia.

Naona unataka kuturejesha stesheni wakati treni lishashika kasi, pole sana, sisi tunaangalia mbele na TUNAPIGA KAZI TU! Kalaghabaho
 
Lowasa ndo nani???? Hivi mnamhubiri yule fisadi ama mwingine mi sieleeewi!!!!!
 
You are very wrong!!!many people are happy and relaxed.only negligible number of people is anxious.
 
Wadau tukubali tu kwamba katika Mambo mageni tuliyoona kwenye wakati huu ni nguvu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.

Nimejaribu kupitia mabandiko mengi hapa JF na ninaona mengi ni malalamiko au matokeo ya wasiwasi wa ukimya wa Lowasa.

Magufuli ameanza kwa kasi ya ajabu bila kujali uelekeo ili kujaribu kuzima makali ya sauti ya ukimya wa Lowassa.Anatamaani sana Lowasa asahaulike mapema ili apate nafasi ya kujenga jina lake na labda umaarufu wake mwenyewe.
Kwa bahati mbaya kila anachofanya kinaongeza kumbukumbu na ukubwa wa sauti ya Ukimya wa Lowasa.

Wamejitokeza wana CCM humu wanaomshambulia Mbowe,wanamshambulia Mbatia,wanakishambulia CHADEMA na vyama vya ukawa,wanachokoa kwa kijiti wapate majibu.Watu kama Juliana Shonza na Faiza walioumizwa na Ukimya wa Lowasa.

Ni dhahiri sasa taifa limetega sikio,liko makini kiasi kwamba hata sindano ikianguka linasikia,lina kiu na sauti ya mtu mmoja tu, Linateseka kwa ukimya wake,linataka kumsikia Ndugu Edward Ngoyae Lowasa.

Mihemko ya kisiasa inayoongelewa na vyombo vya usalama ni mawimbi tu ya Ukubwa wa sauti ya ukimya, intelijensia inaumizwa na ukimya.Naanza kuipenda falsafa hii ya ukimya.

Ila kama mdau tu wa UKAWA na mwanachama wa kawaida kwenye chama changu nitumie fursa hii kumuomba Ndugu Edward Ngoyae Lowassa aongee kitu, Taifa linaumia.

Utaumia peke yako kama ulikuwa unamtegemea ndio upate ugali hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom