johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Baada ya Mwakyembe kusoma report ya Richmond pale bungeni baadae Lowasa aliondoka akiwa kimya, na inasemekana alikwenda nyumbani na hakutaka maongezi na yeyote. Keshoyake Edward akatinga bungeni na mkewe ambaye hadi wakati alikuwa anashangaa ukimya wa mzee,ndipo pale bungeni mzee akachukua maamuzi magumu yaliyomshangaza hadi Mwakyembe mwenyewe! Tendo alilofanya Edward lilinikumbusha Ibrahim baba wa imani alivyomchukua Isaka kimyakimya kuelekea ile madhabahu iliyoitwa baadae Jehova Yire!
Lowasa ni NABII. Ametumwa kuja kutukomboa Watanzania
Huwa nakaa na kufikiria sana ukimya wa Lowasa katika siasa za Tanzania huwa sipati majibu mpaka leo. Sijwahi kupata majibu ya ukimya wa Lowasa.
Pia,huwa nashindwa kumwelewa Lowasa kutumia nguvu nyingi kiasi hiki kutaka urais wa JMT. Lowasa akiwa Rais wa nchi hii hawezi kuwa Rais wa zaidi hata miaka 5 inawezekana hata mwaka mmoja kwake unatosha ila ana lengo lake alilolikusudia( kwa mtazamo wangu na muda niliokaa kufikiria juu ya ukimya wa EL)
ukimya huu wa EL sio wa bure hata kidogo,ametukanwa,amekashifiwameitwa kila aina ya majina,Fisadi,Richmond nk lakini yeye hajawahi kumtukana,kumkejeli mtu,kusema hadharani nk
tutafakari pamoja, sijwahi kuuelewa ukimya wa EL
naona uko bize sana kumtetea huyo kibaka mzoefu. HAUZIKI HATA KWA BEI YA JIONI. tunahitaji mtu muadilifu pale magogoni na sio wezi. Period.Siku nyingine usije tena na akili kama za Aunt Ezekiel na Nyalandu humu tafadhali
lowasa ni jambazi anataka kuja tena kutuuibia anatumika na yule muovu shetani.
Nani ampe Urais Lowasa? Labda kama Watanzania wote watakuwa mataahira
Sio kila tuhuma unatakiwa kujibu hasa kama ww ni kiongozi maana hizi nyingine ni kelele tu .Ila muda ukifika wa kutakiwa kujibu najua majibu yatapatikana tu .Watu wengi najua wanashangaa kwa nn Mh. hajibu hayo maneno yote yaliyoenea huku na kule bali amekua kimnya tu.Na mara nyingi majibu yake yanatakiwa kwa vitendo tu ndio maana huwezi kujibu kwa maneno itakua kama ngonjera.
Hata watu wengi hawategemei kwamba kiongozi aseme anajua wauza madawa ya kulevya bali nimewakamata baada ya kuwabaini wauzaji wa dawa za kulevya.
Ukimya wa Lowasa unaashiria kukata tamaa na anaandamwa na maradhi yasiyotibika
Kundi la Membe wamebaki na mchezo wa kugawa m.atako tu kwa wazungu kama juzi nyalandu alivyompa mzungu wa marekani charles Dunken ili wapate ela kwa udi na uvumba
Lowasa ni NABII. Ametumwa kuja kutukomboa Watanzania
Ukimya ndio dawa ya kila kitu,...kuna waziri moja (Nyalandu) kapigwa siku mbili tu ya tatu akafunguka kuhusu Aunt Ezekiel sasa lowassa tokea 1995 anapigwa tu na bado yuko imara, kwa kweli tanzania tunataka kiongozi anayeweza kuweka mambo makubwa na madogo katika vifua...
Mi naona hakuna shida,kinachotakiwa afanye maamuzi mazito hata kutokea kitandani watekelezaji tupo,mbona nchi hii inaenda tu hata bila rais,kikubwa polisi wawe na virungu vingi,mabomu ya kutoa machozi ya kutosha na tuongeze magari ya maji ya kuwasha.Huko umeenda mbali. Chukulia Lowasa ni Rais wa nchi, huku anatakiwa kimataifa na ndani ya nchi ziara zinamngoja, na kuna hafla kibao za kitaifa. Nadhani tutakuwa na Rais kama Michael Satta wa Zambia
Ili mume wa Aunt Ezekiel aweze kufunction lazima abustiwe kwanza na Charles Dunken kwa kupigwa mashineFunguka mkuu kuhusu huyo Charles Dunken,,, kamfanyaje mume wa Faraja Kota?