Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,617
- 128,468
Leo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.
Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?
Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Wanauliza viongozi wa ccm au wanawakejeli? Viongozi wa ccm tulikuwa tunasema wanajiweka mbele kwenye baadhi ya mambo ili kuhadaa umma, saa imefika muda sahihi wa kukaa mbele wameufyata.