UKIMWI upo, tuvae condom. Vilainishi mbali mbali si kinga sahihi!

Wiki mbili zilizopita tumezika dada wa rafiki yangu,alichoka kutumia dawa akaamua kuacha.Ilikuwa ukienda kumcheki usipokuwa makini unaweza kumkalia kitandani aisee Dada alikwisha, ukimwi usikie Kwa jirani.
unajua umesahaulika hongera mleta mada
 
Hayo mafuta ya parachute mbona mafuta ya kawaida ya kujipaka ..

Kumbe mtu anaeza ona mafuta yako akakuwazia mambo ya kipumbavu kabisa?
UKIMWI upooo
Yanasifika na kutumika mno, wanadai ni laini sana, nafahamu katika umma huu hapa hapakosekani bazazi wa kutujaza umahiri wa mafuta haya katika shughuli zao za [so sweetie hole]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom